title : YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA LEO
kiungo : YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA LEO
YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA LEO
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe.Dkt.Tulia Ackson akitambulisha wageni wa jukwaa la Spika wakati wa kikao cha thelathini na tano cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Rais wa Umoja wa Vijana wa Bunge la Afrika na Mbunge wa Handeni Vijijini Mhe.Mboni Mhita akitoa shukurani mbele ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania toka achaguliwe kuongoza umoja huo ivi karibuni nchini Afrika ya kusini ambapo atatumikia kwa muda wa miaka mitatu.
Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika na Mbunge na Mbunge wa Shinyanga Mjini Mhe.Stephen Maselle akitoa shukurani mbele ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania toka achaguliwe kuongoza Bunge hilo ivi karibuni nchini Afrika ya kusini.
Wanafunzi wa Sekondari ya Huruma ya Jijini Dodoma(kushoto) na Wanachuo wa Chuo cha Diplomasia(kulia) wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni Jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt.Augustine Mahiga akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt.Augustine Mahiga na Naibu wake Mhe.Dkt.Suzan Kolimba wakipitia hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kabla ya kuwasilisha leo Jijini Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalum Mhe.fatma Toufiq(CCM) akiuliza swali kutaka kujua mpango wa Serikali kudhibiti hali ya wanafunzi kupewa ujauzito na waendesha bodaboda leo Jijini Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO, DODOMA.
Hivyo makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA LEO
yaani makala yote YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/yaliyojiri-leo-bungeni-jijini-dodoma-leo.html
0 Response to "YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA LEO"
Post a Comment