title : WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI NA MALIASILI WATEMBELEA MRADI WA ILMIS NA MAJENGO YA NHC VICTORIA NA MOROCO
kiungo : WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI NA MALIASILI WATEMBELEA MRADI WA ILMIS NA MAJENGO YA NHC VICTORIA NA MOROCO
WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI NA MALIASILI WATEMBELEA MRADI WA ILMIS NA MAJENGO YA NHC VICTORIA NA MOROCO
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akionyesha Faili lenye viambatanisho vya hati moja katika chumba cha kubadilisha hati za kawaida kwenda Dijitali kinachosimamiwa na mradi wa ILMIS, ambapo kwa sasa mtu ataweza kupata hati yake kupita mtandao na akihitaji karatasi atapata moja amabyo itakuwa na viambatanisho vyote.
Msajili wa Hati kutoka Wizara ya Ardhi, Joanitha Kazinja akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi na Maliasili, Nape Nnauye wakati walipotembelea chumba cha kubadilishia Nyaraka cha Mradi wa ILMIS.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi na Maliasili, Nape Nnauye Akizungumza wakati wa kikao cha Majumuisho ya ziara ya kutmebelea Miradi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Mradi wa ILMIS Unaotekelezwa na Wizara ya Ardhi.
Mtaalamu wa Maluala ya bacode Katika mradi wa ILMIS Cristina Selaru akitoa maelezo kwa Kamati ya kudumu ya Bunge Ardhi na Maliasili jinsi mfumo huo utakavyokuw aunafanya kazi kumsaidia mtu kujua taharifa zake zote.
Hivyo makala WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI NA MALIASILI WATEMBELEA MRADI WA ILMIS NA MAJENGO YA NHC VICTORIA NA MOROCO
yaani makala yote WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI NA MALIASILI WATEMBELEA MRADI WA ILMIS NA MAJENGO YA NHC VICTORIA NA MOROCO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI NA MALIASILI WATEMBELEA MRADI WA ILMIS NA MAJENGO YA NHC VICTORIA NA MOROCO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/wajumbe-wa-kamati-ya-kudumu-ya-bunge.html
0 Response to "WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI NA MALIASILI WATEMBELEA MRADI WA ILMIS NA MAJENGO YA NHC VICTORIA NA MOROCO"
Post a Comment