Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini Afikishwa Mahakamani akiwa na Pingu Mikononi

Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini Afikishwa Mahakamani akiwa na Pingu Mikononi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini Afikishwa Mahakamani akiwa na Pingu Mikononi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini Afikishwa Mahakamani akiwa na Pingu Mikononi
kiungo : Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini Afikishwa Mahakamani akiwa na Pingu Mikononi

soma pia


Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini Afikishwa Mahakamani akiwa na Pingu Mikononi

Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini, Park Geun-hye amefikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza kujibu mashtaka yanayomkabili, tangu alipokamatwa mwezi Machi mwaka huu.

Mwanasiasa huyo aliyeondolewa madarakani kwa kashfa nzito, anakabiliwa na mashtaka kadhaa ikiwa ni pamoja na rushwa, matumizi mabaya ya madaraka na kuvujisha siri za Serikali. Hata hivyo, Park aliyefikishwa mahakamani hapo na gari la magereza akiwa amefungwa pingu mikononi alikana mashtaka yote dhidi yake.

Park anatuhumiwa kushirikiana na rafiki yake, Choi Sonn-sil, kuchota fedha kinyume cha sheria kutoka kwa makampuni makubwa ya nchi hiyo ikiwa ni pamoja na kampuni ya Samsung, kwa malengo ya kupata mrejesho wa faida ya kisiasa.

Choi Soon-sil ambaye pia anakabiliwa na mashtaka alifikishwa mahakamani pamoja na mwanasiasa huyo lakini pia alikana mashtaka yote dhidi yake.

Kiwango cha juu zaidi cha adhabu kwa kosa la kupokea au kutoa rushwa nchini Korea Kusini ni kifungo cha maisha jela.


Hivyo makala Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini Afikishwa Mahakamani akiwa na Pingu Mikononi

yaani makala yote Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini Afikishwa Mahakamani akiwa na Pingu Mikononi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini Afikishwa Mahakamani akiwa na Pingu Mikononi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/aliyekuwa-rais-wa-korea-kusini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini Afikishwa Mahakamani akiwa na Pingu Mikononi"

Post a Comment