VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMAkiungo :
VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA
VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema, Patrick Ole Sosopi, ametangaza kuwafuta uanachama wanachama wawili wa chama hicho.
Waliofutwa uanachana ni pamoja na aliyekua Naibu Katibu Mkuu Bara, Getrude Ndibalema na Mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa Kilimanjaro, Dickson Kibona.
Akizungumza jana Mei 21, katika mkutano na waandishi wa habari jijini Arusha, Ole Sosopi alisema kwamba uamuzi huo umekuja baada ya kufuata taratibu zote za kuwahoji kupitia tume iliyoundwa.
Alisema viongozi hao wamehojiwa baada ya kuwepo tuhuma za usaliti ambalo ni kosa kubwa kwenye chama hicho.
Sosopi amesema Bavicha imeridhia kuwaondoa wanachama hao baada ya kujiridhisha kwa makosa waliyoyafanya.
Hivyo makala VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA
yaani makala yote VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/viongozi-chadema-walivyo-vuliwa.html
Related Posts :
WAKAZI WA WILAYA YA BAHI MKOANI DODOMA WATAKIWA KUWARIPOTI WALE WOTE WATAKAO JIHUSISHA NA KUWAOZESHA WANFUNZI
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Dodoma
Jamii imetakiwa kuacha kabisa tabia ya kuozesha watoto wadogo ambao awajafikia umri wa kuole… Read More...
UMYM MWALIMU ATOA AGIZO MADAKTARI BINGWA NA WAUGUZI KUHAMIA MLOGANZILA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy A. Mwalimu (Mb) leo Januari 10, 2018 ametembelea Hospitali ya Taaluma… Read More...
SMZ yaving’arisha vijiji vya Mlilile, Mbuyumaji kwa umemeKijakazi Abdalla na Mwashungi Tahir-MAELEZO
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali … Read More...
TANZIA:Mtangazaji wa Radio Free Afrika afariki Dunia,Mwambawahabari amlilia… Read More...
NEC YATANGAZA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI KUFANYIKA FEBRUAI 17 2018
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata nyingine sita utafanyika Februari 17 mwaka huu.
Mwenyeki… Read More...
0 Response to "VIONGOZI CHADEMA WALIVYO VULIWA UANACHAMA"
Post a Comment