Serikali yajibu tuhuma za ubaguzi mikopo vyuoni

Serikali yajibu tuhuma za ubaguzi mikopo vyuoni - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Serikali yajibu tuhuma za ubaguzi mikopo vyuoni, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Serikali yajibu tuhuma za ubaguzi mikopo vyuoni
kiungo : Serikali yajibu tuhuma za ubaguzi mikopo vyuoni

soma pia


Serikali yajibu tuhuma za ubaguzi mikopo vyuoni

Serikali imekanusha kuhusu tuhuma za kwenye sera ya elimu ya mwaka 2014 kuwa ni ya kibaguzi kwa wanafunzi nchini hasa kwa wale wanaosoma kwenye shule za binafsi na kusema kuwa yote wanayofanya ikiwepo kutotoa mikopo kwa wanafunzi wote ni kutokana na ufinyu wa bajeti.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha, wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea kuhusu vigezo vinavyotumika na serikali kuwanyima mkopo wanafunzi waliosoma shule za binafsi, huku akieleza kuwa sera ya elimu imefanya ubaguzi.

"Tunachoangalia ni nani mwenye uhitaji zaidi, sio suala la kibaguzi, bajeti ni iliyopo ndogo wahitaji ni wengi. Kwa wanafunzi waliopata bahati ya kusomeshwa na wafadhili shule binafsi serikali haiwanyimi mikopo tutahitaji ushahidi kweli walifadhiliwa". - William Ole Nash

Aidha Mhe. Ole Nasha ameongeza "Kuhusu watoto ambao wamesoma shule binafsi kutoruhusiwa kupata mikopo ni suala la kuangalia kati ya mtu ambaye ameweza kulipa milioni 3 au 4 ya shule ya msingi na sekondari na yule ambaye hakuweza, ni yupi utampa kipaumbele kupata mkopo, sio tunabagua".- William Ole Nasha


Hivyo makala Serikali yajibu tuhuma za ubaguzi mikopo vyuoni

yaani makala yote Serikali yajibu tuhuma za ubaguzi mikopo vyuoni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Serikali yajibu tuhuma za ubaguzi mikopo vyuoni mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/serikali-yajibu-tuhuma-za-ubaguzi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Serikali yajibu tuhuma za ubaguzi mikopo vyuoni"

Post a Comment