title : SIMBA YAIBANJUA MTIBWA BAO 1-0 TAIFA ,OKWI AIBUKA KINALA
kiungo : SIMBA YAIBANJUA MTIBWA BAO 1-0 TAIFA ,OKWI AIBUKA KINALA
SIMBA YAIBANJUA MTIBWA BAO 1-0 TAIFA ,OKWI AIBUKA KINALA
Kikosi cha timu ya Mtibwa Sugar kilichoanza dhidi ya Simba SC.
Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi (kushoto) akimtoka beki wa Mtibwa, Hassan Isihaka.
Beki wa kulia wa Simba Ally Shomari akipambana na mchezaji wa Mtibwa.
KIKOSI cha Simba leo kimeendeleza ubabe kwa kuichapa Mtibwa Sugar kwa bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki ulipopigwa Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Goli lilifungwa na winga wa Simba Emmanuel Okwi baada ya kupokea pasi ilinyooka kutoka kwa John Boko katika shambulizi lililotokea langoni mwa Mtibwa.
Hata hivyo timu hizo ziliendelea kushambuliana mpaka mwisho wa Mtibwa walikubali kulala kwa bao hilo.
Hivyo makala SIMBA YAIBANJUA MTIBWA BAO 1-0 TAIFA ,OKWI AIBUKA KINALA
yaani makala yote SIMBA YAIBANJUA MTIBWA BAO 1-0 TAIFA ,OKWI AIBUKA KINALA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA YAIBANJUA MTIBWA BAO 1-0 TAIFA ,OKWI AIBUKA KINALA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/simba-yaibanjua-mtibwa-bao-1-0-taifa.html
0 Response to "SIMBA YAIBANJUA MTIBWA BAO 1-0 TAIFA ,OKWI AIBUKA KINALA"
Post a Comment