Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Akipokea Ripoti ya Uhakiki wa Mali za CCM.Katibu Mkuu Mpya wa CCM Alipotangazwa.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Akipokea Ripoti ya Uhakiki wa Mali za CCM.Katibu Mkuu Mpya wa CCM Alipotangazwa. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Akipokea Ripoti ya Uhakiki wa Mali za CCM.Katibu Mkuu Mpya wa CCM Alipotangazwa., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Akipokea Ripoti ya Uhakiki wa Mali za CCM.Katibu Mkuu Mpya wa CCM Alipotangazwa.
kiungo : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Akipokea Ripoti ya Uhakiki wa Mali za CCM.Katibu Mkuu Mpya wa CCM Alipotangazwa.

soma pia


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Akipokea Ripoti ya Uhakiki wa Mali za CCM.Katibu Mkuu Mpya wa CCM Alipotangazwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt. Ali Mohamed Shein wakiwa na 'mlima' wa makabrasha ya ripoti ya uhakiki wa mali za chama baada ya kukabidhiwa na tume aliyounda kuchunguza mali hizo ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam
Wa kwanza kushoto ni Dkt Bashiru Ali Kakurwa ni Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli kuchunguza na kuhakiki mali za CCM akiwa na wajumbe wa tume hiyo mara tu baada ya jina lake kupendekezwa kuchukua nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM mbele ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam
Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya  CCM wakisamama na kuunga mkono kwa kauli moja pendekezo la Dkt. Bashiru Ali Kakurwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli kuchunguza na kuhakiki mali za CCM  Dkt. Bashiru Ali Kakurwa akipongezwa  na wajumbe wa tume hiyo mara tu baada ya jina lake kupendekezwa kuchukua nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM mbele ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam Mei 29, 2018
Picha na Ikulu.


Hivyo makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Akipokea Ripoti ya Uhakiki wa Mali za CCM.Katibu Mkuu Mpya wa CCM Alipotangazwa.

yaani makala yote Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Akipokea Ripoti ya Uhakiki wa Mali za CCM.Katibu Mkuu Mpya wa CCM Alipotangazwa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Akipokea Ripoti ya Uhakiki wa Mali za CCM.Katibu Mkuu Mpya wa CCM Alipotangazwa. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/rais-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_30.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Akipokea Ripoti ya Uhakiki wa Mali za CCM.Katibu Mkuu Mpya wa CCM Alipotangazwa."

Post a Comment