title : RAIS DKT MAGUFULI AHANI MSIBA WA MKUU WA MKOA MSTAAFU MAREHEMU MZEE ABBAS KANDORO MJINI IRINGA LEO
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AHANI MSIBA WA MKUU WA MKOA MSTAAFU MAREHEMU MZEE ABBAS KANDORO MJINI IRINGA LEO
RAIS DKT MAGUFULI AHANI MSIBA WA MKUU WA MKOA MSTAAFU MAREHEMU MZEE ABBAS KANDORO MJINI IRINGA LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo wakati yeye na mkewe Mama Janeth Magufuli walipokwenda kuhani msiba wa Mkuu wa Mkoa Mstaafu Marehemu Mzee Abbas Kandoro eneo la Ihema nje kidogo ya mji wa Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa pole kwa wafiwa walipokwenda kuhani msiba wa Mkuu wa Mkoa Mstaafu Marehemu Mzee Abbas Kandoro eneo la Ihema nje kidogo ya mji wa Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitambulishwa kwa watoto wa marehemu walipokwenda kuhani msiba wa Mkuu wa Mkoa Mstaafu Marehemu Mzee Abbas Kandoro eneo la Ihema nje kidogo ya mji wa Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiomba dua pamoja na wafiwa walipokwenda kuhani msiba wa Mkuu wa Mkoa Mstaafu Marehemu Mzee Abbas Kandoro eneo la Ihema nje kidogo ya mji wa Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018. Picha na IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AHANI MSIBA WA MKUU WA MKOA MSTAAFU MAREHEMU MZEE ABBAS KANDORO MJINI IRINGA LEO
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AHANI MSIBA WA MKUU WA MKOA MSTAAFU MAREHEMU MZEE ABBAS KANDORO MJINI IRINGA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AHANI MSIBA WA MKUU WA MKOA MSTAAFU MAREHEMU MZEE ABBAS KANDORO MJINI IRINGA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/rais-dkt-magufuli-ahani-msiba-wa-mkuu.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AHANI MSIBA WA MKUU WA MKOA MSTAAFU MAREHEMU MZEE ABBAS KANDORO MJINI IRINGA LEO"
Post a Comment