title : Rais Dk.Shein akutana na ujumbe wa Saudi Arabia
kiungo : Rais Dk.Shein akutana na ujumbe wa Saudi Arabia
Rais Dk.Shein akutana na ujumbe wa Saudi Arabia
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu, Misaada, Daawa na Miongozo Mhe. Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim Al Sheikh, akifuatana na Ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu, Misaada, Daawa,na Miongozo Mhe,Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim Al Sheikh,(wa tatu kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na Ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu,Daawa,Misaada na Miongozo Mhe. Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim Al Sheikh,(kushoto) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na Ujumbe wake,(katikati) Mkalimani wa lugha) Sheikh Khalid Mohammed Mrisho.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipofuatana na Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu, Daawa, Misaada na Miongozo Mhe. Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim Al Sheikh,(kushoto) baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na Ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu, Daawa, Misaada na Miongozo Mhe. Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim Al Sheikh,(kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao akifuatana na Ujumbe wake,(hawapo pichani) (Picha na Ikulu)
Hivyo makala Rais Dk.Shein akutana na ujumbe wa Saudi Arabia
yaani makala yote Rais Dk.Shein akutana na ujumbe wa Saudi Arabia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk.Shein akutana na ujumbe wa Saudi Arabia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/rais-dkshein-akutana-na-ujumbe-wa-saudi.html
0 Response to "Rais Dk.Shein akutana na ujumbe wa Saudi Arabia"
Post a Comment