Rais Dk Shein aongoza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar

Rais Dk Shein aongoza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Dk Shein aongoza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Dk Shein aongoza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar
kiungo : Rais Dk Shein aongoza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar

soma pia


Rais Dk Shein aongoza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar alipohudhuria katika kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kilichofanyika leo,[Picha na Ikulu.] 27/05/2018.
 Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC)Zanzibar wakipitia mada mbali mbali kabla ya kuanza kwa kikao hicho kilichoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]27/05/2018. 

Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakipitia mada mbali mbali kabla ya kuanza kwa kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) leokatika Ukumbi wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]27/05/2018.  
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (kulia) wakiimba Wimbo wa Chama mara walipoingia katika Ukumbi wa Mkutano   wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja katika kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo,[Picha na Ikulu.]27/05/2018.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mkutano   wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja (kulia kwa Rais)Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala,[Picha na Ikulu.]27/05/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mkutano   wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja (kushoto)Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala,[Picha na Ikulu.]27/05/2018.  


Hivyo makala Rais Dk Shein aongoza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar

yaani makala yote Rais Dk Shein aongoza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein aongoza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/rais-dk-shein-aongoza-kikao-cha-siku.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Dk Shein aongoza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar"

Post a Comment