Meya Mwita kulisaidia Jeshi la zimamoto kutatua changamoto zao.

Meya Mwita kulisaidia Jeshi la zimamoto kutatua changamoto zao. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Meya Mwita kulisaidia Jeshi la zimamoto kutatua changamoto zao., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Meya Mwita kulisaidia Jeshi la zimamoto kutatua changamoto zao.
kiungo : Meya Mwita kulisaidia Jeshi la zimamoto kutatua changamoto zao.

soma pia


Meya Mwita kulisaidia Jeshi la zimamoto kutatua changamoto zao.

Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akiwa na madiwani wa halmashauri ya jiji hilo wakikagua miradi mbalimbali inayojengwa.
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akizungumza na madiwani pamoja na  askari wa jeshi la Zimamoto, walipofanya ziara ofisini kwao  leo.
................................................................

Jiji la Dar es salaam pamoja na viongozi wa Menejiment ya jiji leo wamefanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika jiji hilo.

Ziara hiyo ambayo imeongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es salaam Isaya Mwita imelenga kutizama na kukagua maeneo ambayo yamejengwa na jiji kwa lengo la kuwanufaisha wananchi wa jiji hilo

Akizungumza katika moja ya eneo ambalo wamelitembelea eneo la Drimp lilipo Karume halmashauri ya Manispaa ya Ilala,Mstahiki Meya Mwita amesema eneo hilo limetengenezwa kwa lengo la watu kupumzika lakini pia watoto watapata sehemu ya kucheza michezo mbalimbali.


Hata hivyo  viongozi hao wamefanya ziara Jeshi la Zimamoto na uokoaji la  jijini Dar es salaam kwa lengo la kuboresha maendeleo ya jeshi hilo ili kuweza kuondokana na changamoto walizonazo ambapo Mstahiki Meya Mwita amesema watahakikisha wanawasaidia jeshi hili kuondosha baadhi ya changamoto zao.


Hivyo makala Meya Mwita kulisaidia Jeshi la zimamoto kutatua changamoto zao.

yaani makala yote Meya Mwita kulisaidia Jeshi la zimamoto kutatua changamoto zao. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Meya Mwita kulisaidia Jeshi la zimamoto kutatua changamoto zao. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/meya-mwita-kulisaidia-jeshi-la-zimamoto.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Meya Mwita kulisaidia Jeshi la zimamoto kutatua changamoto zao."

Post a Comment