Maafisa wamsaka Chui aliyemla mtoto kwenye mbuga Uganda

Maafisa wamsaka Chui aliyemla mtoto kwenye mbuga Uganda - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maafisa wamsaka Chui aliyemla mtoto kwenye mbuga Uganda, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maafisa wamsaka Chui aliyemla mtoto kwenye mbuga Uganda
kiungo : Maafisa wamsaka Chui aliyemla mtoto kwenye mbuga Uganda

soma pia


Maafisa wamsaka Chui aliyemla mtoto kwenye mbuga Uganda




Maafisa wa nyama pori nchini Uganda bado wanamsaka chui aliyemla mtoto wa miaka mitatu wa mwangalizi wa hifadhi ya taifa ya Malkia Elizabeth Ijumaa usiku, Shirika la habari la Ufaransa la AFP limeripoti.
Elisha Nabugyere alimfuata mlezi wake nje ya nyumba za wafanyakazi ambazo hazina uzio, ndipo chui alipomnyaka.
''Msaidizi hakujua kama mtoto alikuwa akimfuata. Alimsikia akipiga kelele akiomba msaada. Alijitahidi kumuokoa lakini alikuwa amechelewa kwani chui alishatokomea naye, msako ulianza siku ya pili tulipata fuvu la mtoto," msemaji wa mamlaja ya hifadhi nchini Uganda Bashir Hangi alieleza.
''Msako unaendelea ili kumpata chui na kumuondoa kwenye hifadhi kwa sababu kwa kuwa amekula nyama ya binaadamu, shauku ya kuendelea kula wengine itaongezeka, hivyo amekuwa mnyama hatari.Alieleza


Hivyo makala Maafisa wamsaka Chui aliyemla mtoto kwenye mbuga Uganda

yaani makala yote Maafisa wamsaka Chui aliyemla mtoto kwenye mbuga Uganda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maafisa wamsaka Chui aliyemla mtoto kwenye mbuga Uganda mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/maafisa-wamsaka-chui-aliyemla-mtoto.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Maafisa wamsaka Chui aliyemla mtoto kwenye mbuga Uganda"

Post a Comment