LUKUVI ATATUA MGOGORO MKONGWE WA ARDHI SOMJI- BOKO JIJINI DAR

LUKUVI ATATUA MGOGORO MKONGWE WA ARDHI SOMJI- BOKO JIJINI DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LUKUVI ATATUA MGOGORO MKONGWE WA ARDHI SOMJI- BOKO JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LUKUVI ATATUA MGOGORO MKONGWE WA ARDHI SOMJI- BOKO JIJINI DAR
kiungo : LUKUVI ATATUA MGOGORO MKONGWE WA ARDHI SOMJI- BOKO JIJINI DAR

soma pia


LUKUVI ATATUA MGOGORO MKONGWE WA ARDHI SOMJI- BOKO JIJINI DAR

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Willium Lukuvi  ametatua mgogoro mkongwe wa ardhi huko Boko kata ya Dovya maarufu kama kwa Somji  jijini Dar es salaam.

Akizungumza na wananchi Lukuvi  ameeleza Rais John Magufuli amempa maelekezo sambaba na kumaliza mgogoro huo.

Amesema  kuwa ardhi hiyo ni mali ya Serikali na wananchi waliojenga makazi yao ni wavamizi kwani eneo hilo la hekari 366 lilichukuliwa na serikali rasmi mwaka 1975 kutoka kwa Somji ambaye alikuwa mmiliki wa eneo hilo.

Aidha ameeleza  kama Serikali haiwezi kuvunja majengo ya wakazi hao ila lazima wafuate taratibu zilizowekwa ili kupata umiliki halali wa viwanja hivyo.

Lukuvi ameeleza lazima mipaka yote ya shamba la Somoji la mwaka 1952 ipimwe ili iweze kujulikana pia ofisi za mipango miji za wizara na Manispaa iangalie kama kuna mipango yoyote ilitokea kuhisiana na eneo hilo.

Ameeleza kwa wenye hati na michoro lazima ihakikiwe kama ipo sahihi sambamba na maelezo ya ya wamiliki kuhusiana na umiliki wao.

Lukuvi ameeleza kuwa kamati iliyoundwa itashirikiana na wataalamu wa wizara ambao watapima maeneo hayo na kugaiwa kwa wananchi na kuanza kuyalipia kodi rasmi na zoezi limalizike mwezi Septemba mwishoni ili wananchi wakabidhiwe hati zao rasmi.
Waziri wa Ardhi, Mhe. William Lukuvi, akizungumza  katika mkutano  wa hadhara na  wananchi wa Boko ambapo ametatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa  zaidi ya miaka 40 katika eneo la Somji lenye hekari 366 jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuele Massaka wa Globu ya jamii)
 Mbunge wa Kawe Halima Mdee akizungumza na wananchi katika mkutano huo wa kutatua mgogoro wa ardhi ambapo ameishukuru serikali kwa kutatua mgogoro huo.
 Waziri wa Ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, William Lukuvi  akiteta jambo na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Ally Hapi katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Boko ambapo ametatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa  zaidi ya miaka 40 katika eneo la Somji lenye hekari 366 jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Ardhi, Mhe. William Lukuvi akijibu maswali mabalimbali aliyoulizwa na wananchi wa  Boko ambapo ametatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa  zaidi ya miaka 40 katika eneo la Somji lenye hekari 366  jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuele Massaka wa Globu ya jamii)
 Baadhi ya wananchi wa Boko wakimsikiliza Waziri wa Ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi William Lukuvi katika mkutano huo.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala LUKUVI ATATUA MGOGORO MKONGWE WA ARDHI SOMJI- BOKO JIJINI DAR

yaani makala yote LUKUVI ATATUA MGOGORO MKONGWE WA ARDHI SOMJI- BOKO JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LUKUVI ATATUA MGOGORO MKONGWE WA ARDHI SOMJI- BOKO JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/lukuvi-atatua-mgogoro-mkongwe-wa-ardhi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "LUKUVI ATATUA MGOGORO MKONGWE WA ARDHI SOMJI- BOKO JIJINI DAR"

Post a Comment