KAMPUNI YA HUSEA YAUNGA MKONO KAULI YA RAIS MAGUFULI YA KUHAMISHA SHUGHULI ZA MIPANGO MIJI KUZIPELEKA WIZARANI

KAMPUNI YA HUSEA YAUNGA MKONO KAULI YA RAIS MAGUFULI YA KUHAMISHA SHUGHULI ZA MIPANGO MIJI KUZIPELEKA WIZARANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI YA HUSEA YAUNGA MKONO KAULI YA RAIS MAGUFULI YA KUHAMISHA SHUGHULI ZA MIPANGO MIJI KUZIPELEKA WIZARANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI YA HUSEA YAUNGA MKONO KAULI YA RAIS MAGUFULI YA KUHAMISHA SHUGHULI ZA MIPANGO MIJI KUZIPELEKA WIZARANI
kiungo : KAMPUNI YA HUSEA YAUNGA MKONO KAULI YA RAIS MAGUFULI YA KUHAMISHA SHUGHULI ZA MIPANGO MIJI KUZIPELEKA WIZARANI

soma pia


KAMPUNI YA HUSEA YAUNGA MKONO KAULI YA RAIS MAGUFULI YA KUHAMISHA SHUGHULI ZA MIPANGO MIJI KUZIPELEKA WIZARANI

KAMPUNI ya Mipango Miji na Vijiji inayotoa ushauri elekezi kuhusu ardhi (HUSEA), imeunga mkono kauli ya Rais Dk. John Magufuli ya kuhamishia shughuli za mipango miji na kuzipeleka wizarani badala ya Tamisemi.

Wiki iliyopita Rais Magufuli aliagiza watalaamu wote wa ardhi na mipango miji katika halmashau zote nchini kusimamiwa moja kwa moja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana Mwenyekiti wa kampuni hiyo Renny Chiwa alisema kuwa uamuzi huo utasaidia kuboresha utendaji wa kazi za mipango miji.

"Tunampongeza Rais Magufuli kuhamisha shughuli za mipango mini wizarani Kwa sababu kuna watalamu was fani hiyo wanaweza kusimamia vizuri kuliko ilivyokua awali," alisema Chiwa.

Alisema uamuzi wa rais ni kutaka kuboresha shughuli za mipango miji pamoja na kuwawajibisha watendaji ambao watashindwa kutimiza majukumu yao ipasavyo.Alisema kutokana na hali hiyo mabadiliko hayo yanaweza kuleta tija na nchi kuwa na mipango bora ya ardhi itakayotoa sura mpya.

Alisema kimsingi wataalamu wa ardhi na mipango miji katika halmashauri ni sawa na watumishi wengine katika serikali za mitaa, kwani wamekuwa wakiwajibika kiutawala moja kwa moja kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). 

Alisema kumekuwepo na changamoto za kiutendaji ambazo zinahitaji watalaamu was fani hiyo kukaa na kubuni mipango thabiti ya ardhi, hivyo basis ni vema suala hill litasimamiwa na watalaamu wenye fani hiyo.Alisema kutokana na hali hiyo mabadiliko hayo yataimarisha usimamizi wa idara husika ya ardhi na mipango miji katika halmashauri.

Alisema kutokana na hali hiyo watalaamu watakapkuwa katika kitengo hicho wanapasww kufanya kazi zao Kwa weledi ili wasimuangushe Rais.“HUSEA tunaona kuwa uamuzi huu wa Rais utazidi kuongeza ufanisi na kasi ya utekelezaji wa urasimishaji makazi nchini ambayo wizara hiyo yamekuwa yakitekelezwa kwa pamoja chini ya msukumo mkubwa wa Waziri wa wizara hiyo, William Lukuvi.
pichani kushoto ni Mratibu wa miradi wa kampuni ya mipango miji ya Husea,Edward Kinabo,Mwenyekiti wa kampuni Renny Chiwa pamoja na  Mkuu wa idara ya mipango miji na vijiji wa kampuni hiyo Aloyce Nyaisa,wakiunga mkono uamuzi wa serikali wa kuhamisha shughuli za mipango miji kutoka Tamiseni na kuzirudisha wizarani.


Hivyo makala KAMPUNI YA HUSEA YAUNGA MKONO KAULI YA RAIS MAGUFULI YA KUHAMISHA SHUGHULI ZA MIPANGO MIJI KUZIPELEKA WIZARANI

yaani makala yote KAMPUNI YA HUSEA YAUNGA MKONO KAULI YA RAIS MAGUFULI YA KUHAMISHA SHUGHULI ZA MIPANGO MIJI KUZIPELEKA WIZARANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA HUSEA YAUNGA MKONO KAULI YA RAIS MAGUFULI YA KUHAMISHA SHUGHULI ZA MIPANGO MIJI KUZIPELEKA WIZARANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/kampuni-ya-husea-yaunga-mkono-kauli-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KAMPUNI YA HUSEA YAUNGA MKONO KAULI YA RAIS MAGUFULI YA KUHAMISHA SHUGHULI ZA MIPANGO MIJI KUZIPELEKA WIZARANI"

Post a Comment