JAFO AAGIZA UJENZI KITUO CHA AFYA BWANGA UKAMILIKE NDANI YA MWEZI MMOJA

JAFO AAGIZA UJENZI KITUO CHA AFYA BWANGA UKAMILIKE NDANI YA MWEZI MMOJA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAFO AAGIZA UJENZI KITUO CHA AFYA BWANGA UKAMILIKE NDANI YA MWEZI MMOJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAFO AAGIZA UJENZI KITUO CHA AFYA BWANGA UKAMILIKE NDANI YA MWEZI MMOJA
kiungo : JAFO AAGIZA UJENZI KITUO CHA AFYA BWANGA UKAMILIKE NDANI YA MWEZI MMOJA

soma pia


JAFO AAGIZA UJENZI KITUO CHA AFYA BWANGA UKAMILIKE NDANI YA MWEZI MMOJA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo ametoa mwezi mmoja kwa Mhandisi wa Ujenzi wa Halmashauri ya Chato mkoani Geita kusimamia ipasavyo na kukamilisha Ujenzi wa miundombinu ya kituo cha afya Bwanga ambacho kimepokea Sh.Milioni 500 kutoka serikali kuu. 

Waziri Jafo ametoa agizo hilo alipokuwa wilayani Chato mkoani Geita katika ziara ya kukagua wa miradi ya maendeleo. Jafo amesema hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa kituo hicho na ametoa siku 30 kazi zote ziwe zimekamilika.Katika hatua nyingine, Waziri Jafo amefurahishwa na ujenzi wa miundombinu katika shule ya sekondari ya kidato cha tano na sita ya Magufuli.

Shule hiyo imeimarishwa miundombinu yake ya vyumba vya madarasa, vyoo, bwalo la chakula, pamoja na mabweni. Akizungumza shuleni hapo, Jafo amewapongeza walimu na wanafunzi wa shule hiyo ya Magufuli kwa kuwa miongoni mwa shule 25 bora nchini kwenye matokeo ya kidato cha sita mwaka 2017.Waziri Jafo amewataka wanafunzi wa kidato cha sita mwaka huu kuweka jitihada zao kwenye masomo ili shule hiyo iendelee kufanya vizuri.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo akiwa na viongozi wa mkoa wa Geita katika ukaguzi wa miradi ya maendeleo.
Wanafunzi wa shule ya sekondari Magufuli wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo alipokuwa katika ziara ya kukagua miundombinu ya shule hiyo.
Majengo ya kituo cha afya Bwanga 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo akiwa na viongozi wa mkoa wa Geita kwenye ukaguzi wa ukarabati wa kituo cha Afya Bwanga.



Hivyo makala JAFO AAGIZA UJENZI KITUO CHA AFYA BWANGA UKAMILIKE NDANI YA MWEZI MMOJA

yaani makala yote JAFO AAGIZA UJENZI KITUO CHA AFYA BWANGA UKAMILIKE NDANI YA MWEZI MMOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAFO AAGIZA UJENZI KITUO CHA AFYA BWANGA UKAMILIKE NDANI YA MWEZI MMOJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/jafo-aagiza-ujenzi-kituo-cha-afya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JAFO AAGIZA UJENZI KITUO CHA AFYA BWANGA UKAMILIKE NDANI YA MWEZI MMOJA"

Post a Comment