DC SOPHIA MJEMA AHIMIZA WATUMISHI ILALA KUCHAPA KAZI, AZINDUA KAMPENI YA UJENZI WA CHOO CHA MTOTO WA KIKE

DC SOPHIA MJEMA AHIMIZA WATUMISHI ILALA KUCHAPA KAZI, AZINDUA KAMPENI YA UJENZI WA CHOO CHA MTOTO WA KIKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC SOPHIA MJEMA AHIMIZA WATUMISHI ILALA KUCHAPA KAZI, AZINDUA KAMPENI YA UJENZI WA CHOO CHA MTOTO WA KIKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC SOPHIA MJEMA AHIMIZA WATUMISHI ILALA KUCHAPA KAZI, AZINDUA KAMPENI YA UJENZI WA CHOO CHA MTOTO WA KIKE
kiungo : DC SOPHIA MJEMA AHIMIZA WATUMISHI ILALA KUCHAPA KAZI, AZINDUA KAMPENI YA UJENZI WA CHOO CHA MTOTO WA KIKE

soma pia


DC SOPHIA MJEMA AHIMIZA WATUMISHI ILALA KUCHAPA KAZI, AZINDUA KAMPENI YA UJENZI WA CHOO CHA MTOTO WA KIKE

Na Said Mwishehe, Globu ya jamii
MKUU wa Wilaya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam Sophia Mjema amewahimiza watumishi wa wilaya hiyo kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidii huku akisisitiza kwake ni kazi tu kama kauli mbiu ya Serikali ya Awamu ya Tano inavyohimiza watu kufanya kazi.

Mbali ya kuhimiza watumishi wa Wilaya ya Ilala kufanya kazi Mjema amezindua rasmi kampeni ya ujenzi wa choo cha mtoto wa kike katika wilaya hiyo kwa shule zote za msingi ambapo amesema yeye binafsi anaunga mkono kampeni hiyo kwa kujenga choo cha matundu sita huku akiahidi kuhamasisha wadau wa maendeleo kusaidia ujenzi huo.

Mjema amesema hayo leo mbele ya Watumishi Wanawake wa Manispaa ya Ilala ambao wamekuwa na utamaduni wa kila mwaka siku kama ya leo kukutana na kufanya tathimini ya utendaji kazi wao na kwa mwaka huu wameamua kuhamasishana kujenga choo cha mtoto wa kike ambacho kitakuwa rafiki na kumsaidia mtoto wa kike kupata nafasi ya kujisitiri hasa wakati anapokuwa kwenye hedhi baada ya kubaini kwa sasa wanafunzi hasa wa darasa la saba kuwa na wakati mgumu kutokana na mazingira ya vyoo vilivyopo shuleni kutokuwa rafiki kwao.

"Tumekutana leo moja ya lengo kuu ni kufanikisha ujenzi wa choo cha mtoto wa kike wa Wilaya ya Ilala ambaye tunaamini ndio atakuwa mtumishi wa wilaya yetu kwa siku zijazo.Hivyo lazima mtoto huyu tumuangalie na kutatua changamoto zake anapokuwa shuleni.Nimezindua kampeni hii ya ujenzi wa choo cha mtoto wa kike kwa lengo la kumuondolea changamoto wanazokutana nazo sasa.

"Binafsi nitajenga choo cha matundu sita na tayari kuna wadau ambao wamejitolea nao kujenga matundu ya vyoo ambavyo vitakuwa na kila kitu muhimu kwa ajili ya mwanafunzi wa kike aliyeko shuleni.Vyoo vitakavyojengwa vitakuwa na kiti chooni, kutakiwa na kioo cha binti kujiangalia na eneo la kufua nguo yake iwapo itatokea bahati mbaya imechafuka,"amefafanua na kuongeza kazi ya ujenzi wa vyoo hivyo itaanza mara moja kwani awamu hii ni ya Hapa Kazi Tu.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza wakati akizindua rasmi kampeni ya ujenzi wa Choo cha mtoto wa kike kwa shule za msingi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Watumishi Wanawake wa Manispaa ya Ilala wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema leo.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akiwa pamoja na Ofisa Habari wa Manispaa ya Ilala Tabu Shaibu(kulia)wakiwa wameshika tuzo ya heshima ya kutambua mchango wa mkuu huyo wa wilaya hasa katika utumishi wake wa kiongozi katika kuitumikia jamii ya Ilala.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala DC SOPHIA MJEMA AHIMIZA WATUMISHI ILALA KUCHAPA KAZI, AZINDUA KAMPENI YA UJENZI WA CHOO CHA MTOTO WA KIKE

yaani makala yote DC SOPHIA MJEMA AHIMIZA WATUMISHI ILALA KUCHAPA KAZI, AZINDUA KAMPENI YA UJENZI WA CHOO CHA MTOTO WA KIKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC SOPHIA MJEMA AHIMIZA WATUMISHI ILALA KUCHAPA KAZI, AZINDUA KAMPENI YA UJENZI WA CHOO CHA MTOTO WA KIKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/dc-sophia-mjema-ahimiza-watumishi-ilala.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC SOPHIA MJEMA AHIMIZA WATUMISHI ILALA KUCHAPA KAZI, AZINDUA KAMPENI YA UJENZI WA CHOO CHA MTOTO WA KIKE"

Post a Comment