Atiwa Mbaroni Kwa Kulawiti Watoto Watatu

Atiwa Mbaroni Kwa Kulawiti Watoto Watatu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Atiwa Mbaroni Kwa Kulawiti Watoto Watatu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Atiwa Mbaroni Kwa Kulawiti Watoto Watatu
kiungo : Atiwa Mbaroni Kwa Kulawiti Watoto Watatu

soma pia


Atiwa Mbaroni Kwa Kulawiti Watoto Watatu

Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Mohamedi Kaisi Hamisi mwenye miaka 47 mkazi wa kijiji cha Kawawa mkoani Mtwara, anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma za ulawiti.

Kamanda wa Polisi mkoani Mtwara Lucas Mkondya amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema kwamba mwanaume huyo anatuhumiwa kulawiti watoto watatu wenye miaka 13, 14 na 15, wa shule ya msingi Kawawa, walipokuwa wanatafuta Nazi kwenye minazi iliyopo vichakani baada ya kutoka

Kamanda Mkondya amesema kwamba baada ya kuwakuta watoto hao mtuhumiwa aliwatishia maisha kabla ya kufanya kitendo hicho cha kinyama katika eneo la Nambonde.

Hata hivyo baadhi ya wananchi waliokuwepo baada ya mtuhumiwa kukamatwa kwa masikitiko makubwa wameiomba serikali ichukue hatua kali kwa mtuhumiwa ili iwe fundisho kwa wengine.


Hivyo makala Atiwa Mbaroni Kwa Kulawiti Watoto Watatu

yaani makala yote Atiwa Mbaroni Kwa Kulawiti Watoto Watatu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Atiwa Mbaroni Kwa Kulawiti Watoto Watatu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/atiwa-mbaroni-kwa-kulawiti-watoto-watatu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Atiwa Mbaroni Kwa Kulawiti Watoto Watatu"

Post a Comment