BASHE FANYA MKUTANO NA WANANCHI WAKE,AUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DKT MAGUFULI KATIKA KUSIMAMIA RASIMALI,KUFUNGA MIANYA YA RUSHWA NA KURUDISHA NIDHAMU YA KAZI KWA WATUMISHI WA UMMA

BASHE FANYA MKUTANO NA WANANCHI WAKE,AUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DKT MAGUFULI KATIKA KUSIMAMIA RASIMALI,KUFUNGA MIANYA YA RUSHWA NA KURUDISHA NIDHAMU YA KAZI KWA WATUMISHI WA UMMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BASHE FANYA MKUTANO NA WANANCHI WAKE,AUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DKT MAGUFULI KATIKA KUSIMAMIA RASIMALI,KUFUNGA MIANYA YA RUSHWA NA KURUDISHA NIDHAMU YA KAZI KWA WATUMISHI WA UMMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BASHE FANYA MKUTANO NA WANANCHI WAKE,AUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DKT MAGUFULI KATIKA KUSIMAMIA RASIMALI,KUFUNGA MIANYA YA RUSHWA NA KURUDISHA NIDHAMU YA KAZI KWA WATUMISHI WA UMMA
kiungo : BASHE FANYA MKUTANO NA WANANCHI WAKE,AUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DKT MAGUFULI KATIKA KUSIMAMIA RASIMALI,KUFUNGA MIANYA YA RUSHWA NA KURUDISHA NIDHAMU YA KAZI KWA WATUMISHI WA UMMA

soma pia


BASHE FANYA MKUTANO NA WANANCHI WAKE,AUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DKT MAGUFULI KATIKA KUSIMAMIA RASIMALI,KUFUNGA MIANYA YA RUSHWA NA KURUDISHA NIDHAMU YA KAZI KWA WATUMISHI WA UMMA



Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini Mhe. Hussein Mohammed Bashe amekua na mkutano wa wazi na wananchi uliojikita katika kuelezea mafanikio na changamoto za miaka miwili ya kipindi cha ubunge wake.

Aidha Malengo makubwa ya mkutano huo yalikuwa ni:
1. Kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa uwazi ili kuongeza nafasi ya ushiriki na ushirikishwaji wa wananchi katika mijadala ya maendeleo.

2. Kueleza juhudi za kuleta maendeleo zilizokwishafanywa na Ofisi ya Mbunge katika kipindi cha miaka miwili (2)

3. Kutambulisha miradi mikubwa ya Elimu, Afya na Maji inayoendelea ndani ya Jimbo la Nzega Mjini;
Elimu
- Ujenzi wa Shule ya kwanza ya wanawake
- Utoaji wa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wote wanaofaulu Jimboni kupitia Bashe Scholarship Awards 
- Ugawaji wa Vifaa vya shule na madaftari 37,000 
- Ujenzi wa Shule ya Kwanza ya Kidato cha Tano na Sita 
- Ujenzi wa zaidi ya vyumba vya madarasa 32 ya Shule za Msingi  kwenye kata 10 jimboni


 Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini Mhe. Hussein Mohammed Bashe akiwahutubia wananchi jimboni kwake katika mkutano wa wazi na wananchi,Mh Bashe alijikita katika kuelezea mafanikio na changamoto za miaka miwili ya kipindi cha ubunge wake.

 Baadhi ya Wananchi wa Nzega wakimsikiliza Mbunge wao,Mh Bashe alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa wazi.


Hivyo makala BASHE FANYA MKUTANO NA WANANCHI WAKE,AUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DKT MAGUFULI KATIKA KUSIMAMIA RASIMALI,KUFUNGA MIANYA YA RUSHWA NA KURUDISHA NIDHAMU YA KAZI KWA WATUMISHI WA UMMA

yaani makala yote BASHE FANYA MKUTANO NA WANANCHI WAKE,AUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DKT MAGUFULI KATIKA KUSIMAMIA RASIMALI,KUFUNGA MIANYA YA RUSHWA NA KURUDISHA NIDHAMU YA KAZI KWA WATUMISHI WA UMMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BASHE FANYA MKUTANO NA WANANCHI WAKE,AUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DKT MAGUFULI KATIKA KUSIMAMIA RASIMALI,KUFUNGA MIANYA YA RUSHWA NA KURUDISHA NIDHAMU YA KAZI KWA WATUMISHI WA UMMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/bashe-fanya-mkutano-na-wananchi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BASHE FANYA MKUTANO NA WANANCHI WAKE,AUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DKT MAGUFULI KATIKA KUSIMAMIA RASIMALI,KUFUNGA MIANYA YA RUSHWA NA KURUDISHA NIDHAMU YA KAZI KWA WATUMISHI WA UMMA"

Post a Comment