YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA APRILI 11, 2018

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA APRILI 11, 2018 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA APRILI 11, 2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA APRILI 11, 2018
kiungo : YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA APRILI 11, 2018

soma pia


YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA APRILI 11, 2018

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora mhe. Kapteni Mstaafu George Mkuchika akiwasilisha hotuba ya makadirio ya matumizi ya  Ofisi hiyo na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2018/19  leo mjini Dodoma.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI mhe. Selemani Jafo akiwasilisha hotuba ya makadirio ya matumizi ya  Ofisi hiyo na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2018/19  leo mjini Dodoma.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Naibu Waziri wake mhe Juliana Shonza wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni mjini Dodoma.
 Waziri wa Nishati Dkt. Merdard Kalemani akiteta jambo na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. William Lukuvi Bungeni mjini Dodoma leo.
Mbunge wa Msalala mhe. Ezekiel Maige akisisitiza jambo Bungeni wakati wa Kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma mapema leo.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA APRILI 11, 2018

yaani makala yote YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA APRILI 11, 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA APRILI 11, 2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/yaliyojiri-leo-bungeni-mjini-dodoma_11.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA APRILI 11, 2018"

Post a Comment