WIZARA YAHAMSHA ARI YA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WIZARA YAHAMSHA ARI YA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
WIZARA YAHAMSHA ARI YA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEOkiungo :
WIZARA YAHAMSHA ARI YA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO
WIZARA YAHAMSHA ARI YA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO
Wizara ya Afya, Mandeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imedhamiria kuendelea na kampeni ya kuamsha ari ya Wananchi kushiriki katika Miradi ya Maendeleo na katika kipindi cha Julai 2017 hadi Machi 2018, Wizara imefanya uhamasishaji katika Mikoa 11 ya Iringa, Dodoma, Mwanza, Pwani, Kigoma, Katavi, Rukwa, Songwe, Mbeya, Kagera na Shinyanga.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati akiwasilisha Utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka 2017/2018 na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2018/2019 Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri Ummy ameeleza kuwa uhamasishaji huu umewezesha ujenzi wa majengo ya Kituo cha Afya Mondo, Wilaya ya Misungwi (Mwanza); ujenzi wa bwawa la maji Maghangu Mpwapwa (Dodoma); ujenzi wa Zahanati Ufyambe (Iringa); ujenzi wa shule ya sekondari na kituo cha afya – Uvinza (Kigoma); ujenzi wa shule ya sekondari na kituo cha afya – Mpanda (Katavi); ujenzi wa kituo cha afya – Sumbawanga (Rukwa); ujenzi wa kituo cha afya – Mbozi (Songwe); ujenzi wa shule ya sekondari – Manispaa ya Mbeya (Mbeya).
Pia amesema kuwa Kampeni hii ya Kuamsha Ari ya Wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo imesaidia kuchangia fedha na vifaa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Makazi ya wazee (Kagera); kuzindua Kituo cha Mkono kwa Mkono (One Stop Centre) cha wahanga wa ukatili wa kijinsia na ukatili wa watoto Wilaya ya Kahama (Shinyanga) na ujenzi wa madarasa mawili katika Kijiji cha Chambasi, Kisarawe (Pwani).
Aidha Mhe. Ummy Mwalimu ameongeza kuwa Wizara imeendelea kushirikiana na Mashirika yasiyo ya Kiserikali katika kutekelza miradi mbalimbali ya maendeleo na kutoa Huduma kwa jamii na kwa kipindi cha kwa kipindi cha Julai 2017 hadi Machi, 2018, jumla ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali192 yalisajiliwa.
Mhe.Ummy Mwalimu alisema pia imeongeza Ustawi wa watoto wazee na jamii nchini kwa kushirikiana na wadau imeendelea kutekeleza Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto (2017/18 – 2021/22). Katika mwaka 2017/18, Kazi zilizofanyika chini ya mpango huu ni kutoa elimu kuhusu athari za mila na desturi zenye madhara kwa jamii ikiwemo ukeketaji, mimba na ndoa za utotoni kwa makundi mbalimbali katika jamii.
Kwa upande wao baadhi ya wabunge waliochangia Hotuba wameipongeza Wizara kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo na kutoa huduma kwa wananchi.
Naye Mwanyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Mandeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba ameiomba Wizara kuajiri Maafisa Maendeleo ya Jamii nchini ili kuondokana na upungufu uliopo kwani Maafisa hawa ni watu muhimu kwa maendeleo ya taifa.
Kwa upande wake Mbunge wa Viti Maalum Zanzibar Mhe. Najma Giga amesema kuwa Wizara inatakiwa kukaa na wadau ili kupata namna bora ya kutokomeza tatizo la ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto kwani limekuwa ni tatizo linalosumbua katika sehemu nyingi hapa nchini.
“Naomba suala hili la Ukatili wa kijinsia dhidi ya Wanawake na Watoto tuondokane nalo maana tatizo hilo linalowakumba na kuwasababishia ukatili mkubwa watoto na wanawake wenzetu” alisisitiza Mhe. Najma.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiwasilisha Utekelezaji wa Bajeti ya kwa Mwakawa fedha 2017/2018 na makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa fedha 2018/2019 Bungeni Mjini Dodoma.
Hivyo makala WIZARA YAHAMSHA ARI YA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO
yaani makala yote WIZARA YAHAMSHA ARI YA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YAHAMSHA ARI YA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/wizara-yahamsha-ari-ya-wananchi_20.html
Related Posts :
MNUSO OLD SCHOOL
OLD SCHOOL REUNION USIPIME WIKI 3 TU ZIMEBAKI COLUMBUS OHIO KIMATAIFA ZAIDI
kwa maombi ya wachezaji wa soka wanaokuja kutoka ulaya kuche… Read More...
ARSENAL vs CHELSEA 4-1 | Full Penalty Shootout | community shield Cup |w... Posted: 06 Aug 2017 02:04 PM PDT *TAARIFA YA KAMATI YA KUSIMAMIA KESI YA KAKA MAYOR* Posted: 06 Aug 2017 10:04 AM PDT Ndugu zetu Watanzania, tunatumai mko katika hali njema. *Tulipofika Mpaka sasa:* ▪Tumefanikisha swala la Mwanasheria, Stephenie Lewis. Amechukua malipo ya kuanzia ya *$5,000*ambayo yataingia kwenye escrow account. ▪Ametoa kadirio la gharama ya kesi kuwa kati ya *$20,000 na $30,000* na hii itategemea swala zima la gharama za dhamana *(bond)* ▪Tumefungua akaunti ya benki, Bank of America sambamba na gofund me ili kurahisisha ukusanyaji wa michango. Gofund, imekusanya *$16,566*mpaka tunaingia mitamboni. Na hii kabla hatujatoa ile *$5,000* ambayo tumekopeshwa. ▪Harambee rasmi itafanyika wiki ijayo, baada ya kujua gharama za dhamana(bond). Lakini Jumaapili hii, wanakamati Watakuwepo kwenye kikao cha maandalizi ya DMV Labor day Party, Kukusanya Michango zaidi. ▪Aunty Baybe na dada Rebecca walimtembela kaka Meya, yuko salama.Anawashukuru kwa upendo mliomuonyesha, na anawasalimu. ▪Shughuli rasmi ya kufuatilia dhamana na kesi yote kwa ujumla itaanza Jumatatu. Tutawapasha habari za yatakayojiri, siku zinavyokwenda. ▪Tunawaomba musisite kuhamasisha michango kwani ndio kwanza tuko nusu ya lengo. http://ift.tt/2vwAn10 Bank of America: Acc # *446039288677* Routing# 052-001-633 Ernest B. Kessy Jasmine R. Bennett. Kwa maelezo zaidi au maoni wasiliana na: Ali Mohamed 3015009762 Baybe Mgaza 2022005031 Raju Tambwe 4433177440 Jasmine Rubama 4103719966 Mganga Muhombolage 2023740988 Iddi Sandaly 3016135165 Kessy Metro Tires 2024135933 Jabir Jongo 2406040574 Tunawashukuru sana. Ahsanteni. Wanakamati. Wajumbe Bodi Umwagiliaji kukamatwa Posted: 06 Aug 2017 05:02 AM PDT MKUU wa Wilaya ya Kilombero, James Ihunyo ameagiza kukamatwa kwa Wajumbe wa Bodi ya Skimu ya Umwagiliaji ya Mkula kutokana na kuchelewesha kwa makusudi malipo ya mkopo walioupata kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja na wanachama wa skimu hiyo, Ihunyo alisema uzembe wa bodi hiyo umesababisha kuchelewesha marejesho ya mkopo wa takribani Sh milioni 790. Aliongeza kuwa, kitendo cha bodi hiyo kinarudisha nyuma juhudi za serikali katika kupambana na umasikini nchini. Alisema kuchelewesha kurudisha mikopo hiyo kunakosesha wakulima wengine kuchelewa kupata fursa hizo za mikopo hiyo nafuu inayotolewa na TADB ambayo imelenga kuchagiza na kusaidia mapinduzi ya kilimo kutoka kilimo cha kujikimu kwenda cha kibiashara ili kuchangia kwenye ukuaji wa uchumi na kupunguza umasikini. Akizungumza katika mkutano huo, Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Adam Kamanda alisema tangu wapatiwe mkopo huo, baadhi ya wakulima wa skimu hiyo wamekuwa wakichelewesha kwa makusudi kurejesha mkopo huo licha ya jitahada za kuwahimiza kurejesha mkopo huo. Kamanda aliongeza kuwa benki ya kilimo imejipanga kuhakikisha inatekeleza maelekezo ya serikali ya kuwawezesha wakulima nchini katika sekta ya kilimo kwa kusaidia upatikanaji na utoaji wa fedha ikiwa ni pamoja sera nzuri zitakazosaidia maendeleo ya kilimo. HABARI LEO WILAYA YA NEWALA MKOANI MTWARA INAKABILIWA NA UHABA MKUBWA WA MAOFISA UGANI NA MIFUGO Posted: 06 Aug 2017 04:58 AM PDT Mwezeshaji kutoka Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania (OFAB), Dk.Emmarold Mneney (kulia), akitoa mafunzo ya siku moja ya kilimo chenye tija kwa wakulima wa Mkoa wa Mtwara kwenye Maonyesho ya Kitaifa ya Nanenane yanayoendelea kwenye viwanja vya Ngongo mkoani Lindi jana. Mkulima Lukia Hassan Nalamba kutoka Kata ya Nanyamba akizungumzia changamoto wanazokabiliana nazo kwenye mafunzo hayo. Wakulima wakiwa kwenye mafunzo hayo. Mafunzo yakiendelea. Mkulima Mohamed Ismail kutoka Kijiji cha Mnyambe wilayani Newala akizungumza kwenye mafunzo hayo. Mkulima Shazili Mpangalika kutoka Kijiji cha Mikumbi wilayani Newala akizungumzia changamoto ya wakulima kuhamia maeneo mengine kufuata bei kubwa ya mazao. Wakulima kutoka Wilaya ya Nanyumbu wakiwa kwenye semina hiyo. Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia kwa Maendeleo ya Kilimo (OFAB), Philbert Nyinondi ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo Morogoro (SUA), akizungumza na wakulima hao Mafunzo yakitolewa. Na Dotto Mwaibale, Lindi HALMASHAURI ya Wilaya ya Newala mkoani Mtwara inakabiliwa na uhaba mkubwa wa maofisa ugani na mifugo jambo linalochangia kuporomoka kwa kilimo wilayani humo. Hayo yalielezwa na mkulima wa wilaya hiyo, Mohamed Ismail katika mafunzo ya siku moja kwa wakulima wa Mkoa wa Mtwara yenye lengo la kuwasaidia kulima kilimo chenye manufaa yaliyotolewa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kupitia kwa mwezeshaji kutoka Jukwaa la Bioteknolojia kwa maendeleo ya Kilimo (OFAB), Dk. Hamalord Mneney katika maonyesho ya kitaifa ya wakulima Nanenane yanayoendelea Viwanja vya Ngongo mkoani Lindi jana. "Tunachangamoto kubwa ya uhaba wa maofisa ugani na mifugo hali inayochangia kwa kiasi kikubwa kutokuwepo kwa ufanisi wa kazi na kushindwa kuwafikia wakulima hivyo kuzorotesha shughuli za kilimo na mifugo kwa ujumla" alisema Ismail. Alisema katika kata moja yenye vijiji sita ni ofisa ugani mmoja tu ndiye anayehudumia wakulima katika vijiji hivyo tena bila ya kuwa na usafiri wa uhakika hivyo kumfanya ashindwe kuwafikia wakulima kuwapa mafunzo na kujua changamoto walizonazo. Alisema kutokana na uhaba wa maofisa kilimo na mifugo imesababisha ofisa ugani kujikuta akifanya kazi mbili ya ugani na mifugo na ofisa mifugo naye akifanya kazi ya ugani na ambayo hakuisomea. "Tunaiomba serikali kuliangalia jambo ili kwa karibu zaidi kwani bila ya kufanya hivyo Tanzania ya kuelekea uchumi wa viwanda katika wilaya hiyo itakuwa ni ndoto" alisema Ismail. Mkulima Shezili Mpangalika kutoka katika wilaya hiyo alisema kilimo cha kuhamahama kinachosababishwa na kuporomoka kwa bei ya zao la mbaazi kimechangia kuwepo kwa mimba za utotoni kwa wanafunzi na wavulana kuacha masomo kutokana na kutokuwepo kwa usimamizi wa wazazi na walezi wao wanaokimbia nyumba zao kwenda maeneo mengine kufanya kilimo chenye tija. Alisema katika wilaya hiyo wakulima wengi wamekuwa wakikimbia kutokana na bei ya mbaazi kushuka kutoka shilingi 500 hadi kufikia 400 na hivyo kuhamua kwenda wilayani Kilwa kulima ufuta ambao bei yake ni kati ya shilingi 2000 hadi 2500. "Wazazi wanapoondoka na kwenda Kilwa ukaa huko kwa zaidi ya miezi sita na huwaacha watoto wao bila ya kuwa na uangalizi maalumu wakilelewa na babu na bibi zao tena bila ya kuwa na chakula hivyo kujikuta wakijiingiza katika vitendo vya ngono isiyo salama na kupata mimba huku wavulana wakiacha shule na kushinda kijijini wakizurura. Wakulima hao walizitaja changamoto walizonazo ni mazao yao kushambuliwa na wadudu waharibifu, ukame, kukosekana kwa elimu ya kilimo,pembejeo, mvua kutonyesha kwa wakati na zao la mhogo kushambuliwa na ugonjwa wa batobato na michirizi kahawia na kuwa changamoto hizo zinalingana na wilaya zingine za mkoa wa Mtwara Mwezeshaji kutoka Jukwaa la Bioteknolojia kwa maendeleo ya Kilimo (OFAB), Dk. Hamalord Mneney aliwataka wakulima hao kuacha kilimo cha mazoea na kufanya kilimo cha Kisayansi kutokana na hali ya sasa ya tabia nchi. "Wakulima mnapaswa kubadilika na kuacha kulima kilimo cha zamani hivi sasa hali imebadilika hivyo mnatakiwa kufanya kilimo cha Sayansi na Teknolojia chenye tija na kufuata maelekezo ya wataalamu na kuachana na kilimo cha zamani" alisema Dk. Mneney. Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia kwa Maendeleo ya Kilimo (OFAB), Philbert Nyinondi ambaye ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo Morogoro (SUA), aliwataka wakulima hao kujiongeza zaidi na kubadili matumizi ya simu zao kwa kuzitumia kutafuta masoko na kuwasiliana na wenzao kuelezana changamoto walizonazo kwenye kilimo badala ya kutumia kwa matumizi yasiyo na tija. Wakulima walionufaika na mafunzo hayo ni kutoka Wilaya za Mtwara mjini, Vijijini, Nanyamba, Tandahimba, Newala, Masasi na Nanyumbu. (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com- simu namba 0712727062) BAMBI BAMBI MY DEAR, MY DEAR, MY DEAR Posted: 06 Aug 2017 04:36 AM PDT BAMBI BAMBI MY DEAR MY DEAR MY DEAR...ALIITWA Bambi! Ni jina lenye asili ya Italia, jina hili hupewa mabinti wazuri waliotosheka urembo. Kama lilivyo jina lake, Bambi alikuwa Bambi kweli. Bahati yake hakuzaliwa enzi za utumwa, angevushwa bahari kwa senti kiduchu! Pendapenda alibahatika kumpata Bambi, wakapendana wangali bado vijana wenye nguvu. Mapenzi motomoto yaliwatawala wawili hawa, kuna waliozusha eti kuna wakati mapenzi yalikolea moto mpaka zikatoka cheche! Ulikuwa uzushi. Pendapenda alimpenda vilivyo Bambi wake. Alimpa kila alichokuwa nacho. Kipi Bambi aliomba akanyimwa? Hakuna! Bambi akaendelea kutumbua katika vinono alivyopewa. Kuna wakati mama yake Bambi aliugua, Pendapenda akatinga ukweni. Wakamweleza mkwe alihitaji figo. Pendapenda alitoa. Mwanaume mwenye upendo akabaki na figo moja. Upendo wa ajabu huu! Hakuishia hapo, akamjengea nyumba mama mkwe, na akaamua kuchukua majukumu yote, ya mjane yule. Alisikika akisema, “Mama we tulia… usifanye kazi nitakuhudumia!” Alifanya mambo mengi yasiyoweza kuelezwa yote. Kwa bahati mbaya ule wakati wa dharura ukafika. Kumbe Pendapenda alikopa benki akashindwa kurejesha kutokana na biashara zake kuyumba. Kila kitu chake kikachukuliwa katika mnada, akabaki kapuku wa kutupwa. Bambi msichana aliyezoeshwa starehe na aliyekuwa akiwindwa kutwa na vigogo wa jiji, akasahau fadhila zote alizofanyiwa na Pendapenda, huyoo akatokomea kwa mwanaume mwingine mwenye fedha! Pendapenda akaachwa! Pendapenda alipenda kweli. Uchungu wa kupoteza mali na mwanamke aliyempenda, ukamtia wazimu. Akili yake ikayumba! Akafikiri tofauti. Aliamua kujiua! Akatamani kunywa sumu ya panya, lakini hakuwa na pesa ya kununulia sumu. Akataka kujinyonga, akawaza akagundua hana pesa ya kununulia kamba imara! Akagundua njia moja rahisi, haraka akaelekea katika jengo moja refu, akakwea mpaka juu, akasimama. akipiga ukunga wa uchungu, watu wakajaa chini wakimbembeleza asijirushe. Bambi hakuwepo, alikuwa Visiwa vya Shelisheli akiponda starehe na bwana mwenye fedha nyingi. Pendapenda hakusikia ushauri wa mtu, moja.. mbili… tatu.. alijirusha. Jengo lilikuwa refu, niliuona mwili wake ukija chini kwa kasi, pia niliiona fulana kifuani pake yenye maandishi yaliyosomeka, ‘BAMBI BAMBI, MY DEAR MY DEAR MY DEAR…’ Sikutaka kumshuhudia akifika chini, niliamua kuondoka, hata kabla sijapiga hatua mbili, kikasikika kishindo kikubwa… ‘puuuuuuuh’… vikafuata vilio vya akinamama wastaarabu wa Pwani. GPL MASAUNI APOKEA VIFAA VYA TAMASHA LA USALAMA BARABARANI LITAKALOFAYIKA AGOSTI 12, MWAKA HUU UWANJA WA TAIFA
Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani, Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea moj… Read More...
USAJILI WANACHI VITAMBULISHO VYA TAIFA WAPAMBA MOTO VIWANJA VYA NGONGO VYA NANE NANE MKOANI LINDI… Read More...
UPDATES ON WATANZANIA USA RE-UNION, MBONI SHOW IN DA HAUZZZ!This Labor Day Weekend Sept 1st - Sept 3rd Is Now Certified as The Destinations to be. Picking up another endorsement from The International… Read More...
NGOMA YA MSEWE KUTOKA KISIWANI PEMBA
… Read More...
0 Response to "WIZARA YAHAMSHA ARI YA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO"
Post a Comment