title : MNUSO OLD SCHOOL
kiungo : MNUSO OLD SCHOOL
MNUSO OLD SCHOOL
OLD SCHOOL REUNION USIPIME WIKI 3 TU ZIMEBAKI COLUMBUS OHIO KIMATAIFA ZAIDI
kwa maombi ya wachezaji wa soka wanaokuja kutoka ulaya kucheza Simba na Yanga wameomba mechi ipigwe siku ya Jumamosi kwa hiyo mtanange wa Simba na Yanga utachezwa baada ya mpira wa kikapu siku hiyo ya Jumamosi Sept 2, 2017
HOTELS IN COLUMBUS
Hampton Inn Columbus I-70 E/Hamilton Road
2093 S Hamilton Rd, Columbus, OH 43232
Holiday Inn Express & Suites Columbus Southeast
4041 Hamilton Square, Groveport, OH 43125
Hawthorn Suites by Wyndham Airport Columbus East
2084 S Hamilton Rd, Columbus, OH 43232
La Quinta Inn Columbus Airport Area
2447 Brice Rd, Reynoldsburg, OH 43068
Comfort Suites Columbus
5944 Scarborough Blvd, Columbus, OH 43232
Days Inn & Suites Columbus East Airport
2100 Brice Rd, Reynoldsburg, OH 43068
Courtyard by Marriott Columbus Airport
2901 Airport Dr, Columbus, OH 43219
RATIBA KAMILI NI KAMA IFUATAVYO
Ijumaa Sept 1, 2017
Kuanzia saa 3 usiku ni Africa Night chini ya DJ Burundi na kutakua na onyesho la mavazi kutoka kwa Missy T na Asya Idarous Khamsin anuani ni
4257 Eastland Square Dr,
Columbus, OH 43243
Jumamosi Sept 2, 2017
Kuanzia saa 8 mchana ni BONANZA la mpira wa kikapu kutoka kwa vijana wa Pazi, Vijana, Don Bosco na kwengineko anuani ni
6615 Dublin center Dr,
Dublin, OH 43017
Jumamosi Sept 2, 2017
kuanzia saa 12 jioni ni mechi ya Simba na Yanga itakayokua na wachezaji waliocheza ligi kuu Tanzania anuani ni
Avery Park,
7501 Avery Rd,
Dublin, OH
43017
Na baadae kuanzia saa 3 usiku ni Old School Reunion chini na Ma DJ bora North America DJ Dennis (Funky House) na The Mix Master DJ Luke Joe anuani ni 4257 Eastland Square Dr
Columbus, OH 43243
Jumapili Sept 3, 2017
kuanzia saa 12 jioni
NYAMA CHOMA anuani
Avery Park,
7501 Avery Rd,
Dublin, OH
43017
Na baadae kuanzia saa 3 usiku ni usiku wa Reggae anuani ni
4257 Eastland Square Dr,
Columbus, OH 43243
MISOSI NA VINYWAJI VYAKUMWAGA
Hivyo makala MNUSO OLD SCHOOL
yaani makala yote MNUSO OLD SCHOOL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MNUSO OLD SCHOOL mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mnuso-old-school.html
0 Response to "MNUSO OLD SCHOOL"
Post a Comment