WINNIE MANDELA AFARIKI DUNIA

WINNIE MANDELA AFARIKI DUNIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WINNIE MANDELA AFARIKI DUNIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WINNIE MANDELA AFARIKI DUNIA
kiungo : WINNIE MANDELA AFARIKI DUNIA

soma pia


WINNIE MANDELA AFARIKI DUNIA

Winnie Mandela, mke wa zamani wa Nelson Mandela, ambaye pia alipigana dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi Afrika Kusini amefariki dunia akiwa na miaka 81.
Habari za kifo chake zimethibitishwa na msaidizi wake.
Msemaji wa familia Victor Dlamini amesema kupitia taarifa kuwa: “Amefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu, ambapo amekuwa akiingia na kutoka hospitalini mara kwa mara tangu mwnazo wa mwaka.
“Alifariki kwa amani mapema Jumatatu adhuhuri akiwa amezungukwa na familia na wapendwa wake.”
Askofu mstaafu na mshindi wa tuzo ya Nobel Desmond Tutu amemsifu kama “ishara kuu ya vita dhidi ya ubaguzi wa rangi,” kwa mujibu wa AFP.


Hivyo makala WINNIE MANDELA AFARIKI DUNIA

yaani makala yote WINNIE MANDELA AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WINNIE MANDELA AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/winnie-mandela-afariki-dunia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WINNIE MANDELA AFARIKI DUNIA"

Post a Comment