title : Fahamu njia rahisi ya kupaka lipstick
kiungo : Fahamu njia rahisi ya kupaka lipstick
Fahamu njia rahisi ya kupaka lipstick
Wanawake wengi warembo na wanaojipenda lazima ahakikishe kuwa anaonekana vizuri kuanzia muonekano wa mavazi na hata muoneano wa urembo wake iliwepo lips zake kuvutia zaidi.
Leo tuta tazama njia rahisi ya kuweza kupaka rangi ya mdomo ama Lipstick kama inavyofahamika kwa wengi wao. ambao itakupa matokeo mazuri na kubutia.
make up, applying lips liner pencil on beautiful lips
Njia hizo ni:
1.) Hakikisha katika mdomo wako hakuna rangi yoyote ya mdomo na pia uwe mkavu.
2.) Paka poda nyeupe kwa mbali ilikusaidia pindi upakapo rangi isitoke kwa haraka.
3.) Tumia wanja ama penseli maarumu kuchora mdomo wako ulivyo ila anza kwa hapa juu kwenye ambapo utaweka umbo la X au V .
4.) Baada ya kufuatisha ilivyo hakikisha unaanza kuchora kwa chini na kisha juu.
5.) Ukimaliza paka consiler kuuchonga mdomo wako vizuri.
6.) Hapa sasa pakaa rangi yako na hakikisha haitoki nje ya consiler ulioweka.
7. ) Futa consiler kwa kifaa maalumu cha makeup na hapo utakuwa umemaliza.
Ukiwa kama mrembo tuambie wewe huwa unapakaje lipstick yako?
Hivyo makala Fahamu njia rahisi ya kupaka lipstick
yaani makala yote Fahamu njia rahisi ya kupaka lipstick Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Fahamu njia rahisi ya kupaka lipstick mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/fahamu-njia-rahisi-ya-kupaka-lipstick.html
0 Response to "Fahamu njia rahisi ya kupaka lipstick"
Post a Comment