title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA ALI MTOPA
kiungo : WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA ALI MTOPA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA ALI MTOPA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati alipowasili kushiriki mazishi ya Mwanasiasa na Mkongwe na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu wa Mkoa wa Lindi, Alhaj Ali Mtopa katika kijiji cha Nanjilinji wilayani Kilwa, Aprili 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waombolezaji wakishiriki katika mazishi ya Mwanasiasa Mkongwe na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM wa mkoa wa Lindi, Alhaj Ali Mtopa kwenye kijiji cha Nanjilinji wialyani Kilwa Aprili 11, 20918.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji katika mazishi ya Mwanasiasa Mkongwe na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu wa Mkoa wa Lindi, Alhaj, Ali Mtopa katika kijiji cha Nanjilinji wilayani Kilwa, Apili 11, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika sala ya kumwombea Mwanasiasa Mkongwe na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoa wa Lindi, Alhaj Ali Mtopa wakati aposhiriki katika mazishi ya Mwansiasa huyo yaliyofanyika kwenye kijiji cha Nanjilinji wilayani Kilwa, Aprili 11, 2018. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (hayupo pichani) akishiriki katika mazishi ya Mwanasiasa na Mkongwe na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu wa Mkoa wa Lindi, Alhaj Ali Mtopa katika kijiji cha Nanjilinji wilayani Kilwa, Aprili 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA ALI MTOPA
yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA ALI MTOPA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA ALI MTOPA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/waziri-mkuu-majaliwa-aongoza-mazishi-ya.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA ALI MTOPA"
Post a Comment