title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WABUNGE WA AFRIKA YA MASHARIKI WANAOIWAKILISHA TANZANIA
kiungo : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WABUNGE WA AFRIKA YA MASHARIKI WANAOIWAKILISHA TANZANIA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WABUNGE WA AFRIKA YA MASHARIKI WANAOIWAKILISHA TANZANIA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki wanaoiwakilisha Tanzania, Ofisini kwake mjini Dodoma Aprili 23, 2018. Kutoka kushoto ni Josephine Lemoyan, Happiness Lugiko, Mhandisi Habibu Mnyaa, Mariam Ussi Yahya, Alhaj Adam Kimbisa, Fancy Nkuhi na Dkt. Abdullah Hasnuu Makame. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki wanaoiwakilisha Tanzania baada ya kuzungumza nao, Ofisini kwake mjini Dodoma, Aprili 23, 2018. Kutoka kushoto ni Mhandisi Habibu Mnyaa, Josephine Lemoyan, Dkt. Abdullah Hasnuu Makame, Alhaj Adam Kimbisa, Mariam Ussi Yahya, Happiness Lugiko na Fancy Nkuhi. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WABUNGE WA AFRIKA YA MASHARIKI WANAOIWAKILISHA TANZANIA
yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WABUNGE WA AFRIKA YA MASHARIKI WANAOIWAKILISHA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WABUNGE WA AFRIKA YA MASHARIKI WANAOIWAKILISHA TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/waziri-mkuu-majaliwa-akutana-na-wabunge_24.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WABUNGE WA AFRIKA YA MASHARIKI WANAOIWAKILISHA TANZANIA"
Post a Comment