MAHAKAMA YAMTIA HATIANI MALKIA WA TEMBO KESI YA MENO YA TEMBO.

MAHAKAMA YAMTIA HATIANI MALKIA WA TEMBO KESI YA MENO YA TEMBO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAKAMA YAMTIA HATIANI MALKIA WA TEMBO KESI YA MENO YA TEMBO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAKAMA YAMTIA HATIANI MALKIA WA TEMBO KESI YA MENO YA TEMBO.
kiungo : MAHAKAMA YAMTIA HATIANI MALKIA WA TEMBO KESI YA MENO YA TEMBO.

soma pia


MAHAKAMA YAMTIA HATIANI MALKIA WA TEMBO KESI YA MENO YA TEMBO.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtia hatiani raia wa China, Yang Feng Glan (66) maarufu kama Malkia wa tembo, na wenzake Wawili baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa na mashahidi kumi na moja upande wa mashtaka Katika mashitaka ya kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo yenye thamani ya Sh. bilioni 13, kinyume cha sheria.

Mbali na Feng washtakiwa wengine waliotiwa hatiani ni,  wafanyabiashara raia wa Tanzania, Salvius Matembo na Philemon Manase, ambao wote walikuwa wakitetewa na mawakili Nehemia Nkoko na Hassan Kiangio.

Hukumu imeahirishwa baada ya dakika 30 ili washitakiwa wajitetee kabla ya kuhukumiwa.


Hivyo makala MAHAKAMA YAMTIA HATIANI MALKIA WA TEMBO KESI YA MENO YA TEMBO.

yaani makala yote MAHAKAMA YAMTIA HATIANI MALKIA WA TEMBO KESI YA MENO YA TEMBO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA YAMTIA HATIANI MALKIA WA TEMBO KESI YA MENO YA TEMBO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mahakama-yamtia-hatiani-malkia-wa-tembo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAHAKAMA YAMTIA HATIANI MALKIA WA TEMBO KESI YA MENO YA TEMBO."

Post a Comment