UDART YAWAPA JUKUMU TTCL KUKUSANYA NAULI MABASI YA MWENDO KASI DAR

UDART YAWAPA JUKUMU TTCL KUKUSANYA NAULI MABASI YA MWENDO KASI DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UDART YAWAPA JUKUMU TTCL KUKUSANYA NAULI MABASI YA MWENDO KASI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UDART YAWAPA JUKUMU TTCL KUKUSANYA NAULI MABASI YA MWENDO KASI DAR
kiungo : UDART YAWAPA JUKUMU TTCL KUKUSANYA NAULI MABASI YA MWENDO KASI DAR

soma pia


UDART YAWAPA JUKUMU TTCL KUKUSANYA NAULI MABASI YA MWENDO KASI DAR

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii
KAMPUNI ya Huduma ya Mradi wa mabasi ya mwendo kasi (UDART) imefanya marekebisho katika mfumo wa utoaji huduma hasa katika ukusanyaji wa nauli kutoka kampuni ya Max com Afrika na sasa utafanywa na Shirika la simu la Taifa (TTCL)

Akizungumza na vyombo vya habari leo jijini Dar es salaam Mkuu wa Idara ya Mawasiliano (UDART) Deus Bagaywa ameeleza baada ya mkataba na Max Com Afrika kuisha baada ya kudumu takribani kwa miaka miwili kuanzia Mei 2016 hadi leo Aprili 14, hivyo wameamua kuwa na mkataba na TTCL kampuni iliyokuwa inawasaidia hapo awali na hii ni kwa lengo la kuboresha huduma zaidi na ukiangalia shirika la TTCL limeboresha sana mitambo yao.

Kuhusu wafanyakazi waliokuwa wanatoa huduma katika vituo vya mabasi mabadiliko hayo hayatawaathiri, Bugaywa ameeleza wafanyakazi 191waliokuwa wanafanya kazi kupitia Maxcom Afrika na kulipwa na UDART wataendelea na kazi na kubadilishiwa mikataba hivyo hawataathirika.

Aidha ameeleza changamoto zitajitokeza kwa siku mbili hizi ila watajitahidi kutoa huduma kwa ufasaha.

Kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa Bugaywa ameeleza kuwa wamejiandaa na mipango ya dharura na wanachukua tahadhari  hivyo wananchi wawe na imani na usafiri huo.
Mkuu wa Idara ya Mawasiliano UDART, Deus Bugaywa  akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusiana na mabadiliko ya utoaji huduma kutoka Maxcom Afrika kwenda kwa Shirika la simu la taifa (TTCL)(Picha na Emmanuele Massaka,Globu ya jamii)


Hivyo makala UDART YAWAPA JUKUMU TTCL KUKUSANYA NAULI MABASI YA MWENDO KASI DAR

yaani makala yote UDART YAWAPA JUKUMU TTCL KUKUSANYA NAULI MABASI YA MWENDO KASI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UDART YAWAPA JUKUMU TTCL KUKUSANYA NAULI MABASI YA MWENDO KASI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/udart-yawapa-jukumu-ttcl-kukusanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UDART YAWAPA JUKUMU TTCL KUKUSANYA NAULI MABASI YA MWENDO KASI DAR"

Post a Comment