title : RAIS MAGUFULI AITANGAZA MANISPAA YA DODOMA KUWA JIJI.
kiungo : RAIS MAGUFULI AITANGAZA MANISPAA YA DODOMA KUWA JIJI.
RAIS MAGUFULI AITANGAZA MANISPAA YA DODOMA KUWA JIJI.
Rais Dkt John Pombe Magufuli ameipandisha hadhi Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji kuanzia leo Aprili 26, 2018 katika sherehe ya miaka 54 ya Muungano .
Na pia ameagiza michakato ya kisheria ianze mara moja na pia aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma ndiye atakuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma.
Dodoma inaungana na majiji mengine nchini ; Dar es Salaam,Mwanza, Arusha ,Tanga na Mbeya
Hivyo makala RAIS MAGUFULI AITANGAZA MANISPAA YA DODOMA KUWA JIJI.
yaani makala yote RAIS MAGUFULI AITANGAZA MANISPAA YA DODOMA KUWA JIJI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AITANGAZA MANISPAA YA DODOMA KUWA JIJI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/rais-magufuli-aitangaza-manispaa-ya.html
0 Response to "RAIS MAGUFULI AITANGAZA MANISPAA YA DODOMA KUWA JIJI."
Post a Comment