AMUUA MKEWE KWA KUKATAA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA

AMUUA MKEWE KWA KUKATAA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AMUUA MKEWE KWA KUKATAA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AMUUA MKEWE KWA KUKATAA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA
kiungo : AMUUA MKEWE KWA KUKATAA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA

soma pia


AMUUA MKEWE KWA KUKATAA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA



Maafisa wa polisi wanasema kuwa mwanamume mmoja katika jimbo la kaskazini mwa India la Haryana amemuua mkewe baada ya kukataa kushiriki naye tendo la ndoa.
Sanjiv Kumar mwenye umri wa miaka 35 alidaiwa kumyonga mkewe ,Suman wakati wa vita siku ya Jumanne.
Mwanamume huyo alikiri kutekeleza kitendo hicho baada ya kukamatwa , afisa wa polisi Ramesh Jaglan aliambia BBC.
Migogoro ya kiyumbani ndio yenye visa vingi vilivyoripotiwa dhidi ya wanawake nchini India kwa zaidi ya muongo mmoja sasa.
''Alikuwa akikataa kufanya ngono kwa muda .Siku ya Jumanne alikataa tena, hatua iliomuudhi na kuamua kumnyonga.Tumemkamata'', bwana Jaglan aliambia BBC.
Wanandoa hao walikuwa wameoana kwa zaidi ya muongo mmoja. Wana watoto wawili.


Hivyo makala AMUUA MKEWE KWA KUKATAA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA

yaani makala yote AMUUA MKEWE KWA KUKATAA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AMUUA MKEWE KWA KUKATAA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/amuua-mkewe-kwa-kukataa-kushiriki-tendo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AMUUA MKEWE KWA KUKATAA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA"

Post a Comment