title : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UKUTA UNAOZUNGUKA ENEO LA MGODI WA TANZANITE MIRERANI LEO
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UKUTA UNAOZUNGUKA ENEO LA MGODI WA TANZANITE MIRERANI LEO
RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UKUTA UNAOZUNGUKA ENEO LA MGODI WA TANZANITE MIRERANI LEO
Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya shukrani Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo baada ya jeshi hilo kukamilishi mbele ya wakati ujenzi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi kitambulisho cha Taifa mmoja wa wamiliki wa migodi ya Tanzanitehati ya shukrani Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Jenerali Venance Mabe ili kuwawezesha kupata ruksa ya kuingia na kufanya kazi ndani ya eneo lililozungukwa na ukuta eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018 .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akifunua pazia kuashiria uzinduzi rasmi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli na viongozi wengine wakipata maelezo ya madini ya Tanzanite yanavyochajkatwa wakati wa uzinduzi rasmi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na watendaji wa JWTZ na JKT waliosimamia kazi za ujenzi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha na mvumbuzi wa madini ya Tanzanite Mzee Jumanne Ngoma wakati wa uzinduzi rasmi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018.
Picha na IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UKUTA UNAOZUNGUKA ENEO LA MGODI WA TANZANITE MIRERANI LEO
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UKUTA UNAOZUNGUKA ENEO LA MGODI WA TANZANITE MIRERANI LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UKUTA UNAOZUNGUKA ENEO LA MGODI WA TANZANITE MIRERANI LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/rais-dkt-magufuli-azindua-ukuta.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UKUTA UNAOZUNGUKA ENEO LA MGODI WA TANZANITE MIRERANI LEO"
Post a Comment