MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FCkiungo :
MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC
MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC
Ligi Kuu Bara imeendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa katika Uwanja wa Mwadui Complex kwa Mwadui ikikaribisha Mbao FC.
Mchezo uliopigwa majira ya saa kumi ulimalizika kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbao FC.
Bao pekee la mchezo huo limefungwa na Charles na Ilanfya katika dakika ya 29 ya kipindi cha kwanza na kuweza kudumu dakika 90 zote za mpambano huo.
Matokeo hayo yanainusuru Mwadui kujiweka katika mazingira ya kutoshuka daraja baada ya kupata alama tatu muhimu na kufikisha jumla ya pointi 29 ikipanda mpaka nafasi ya 9 ya msimamo wa ligi.
Hivyo makala MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC
yaani makala yote MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/mwadui-yajinusuru-kushuka-daraja-dhidi.html
Related Posts :
BABU SEYA, PAPII KOCHA WATOKA GEREZANI JIONI HII
Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) pamoja na Mwanaye Papii Kocha wakipunga mikono muda huu baada ya kutoka katika Gereza la Ukonga jijin… Read More...
Rais Dkt Magufuli aongoza Sherehe za Miaka 56 ya Uhruru Dodoma Leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima wakati wa sherehe z… Read More...
WAFUNGWA WA SEGEREA, WAKUMBUKWA , MAKONDA ASIKILIZA SHIDA ZAO ,AJUMUIKA NAO KWA CHAKULA ,ATOA RUNINGA 69 ,KWA MAGEREZA YA DSM NA HOSPITAL… Read More...
Michezo / Riadha : Wanafunzi Washiriki mbio za Nyika (Series II) 2017 -2018 , Jijini Arusha
Watoto walioshiriki mbio za Nyika kwa Series ya Pili 2017-2018, zilizofanyika katika Viwanja vya Magereza, Kisongo Jijini Arusha, 09… Read More...
SALAMU ZA MIAKA 56 YA UHURU KUTOKA PSPF
… Read More...
0 Response to "MWADUI YAJINUSURU KUSHUKA DARAJA DHIDI YA MBAO FC"
Post a Comment