Rais Dkt Magufuli aongoza Sherehe za Miaka 56 ya Uhruru Dodoma Leo

Rais Dkt Magufuli aongoza Sherehe za Miaka 56 ya Uhruru Dodoma Leo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Dkt Magufuli aongoza Sherehe za Miaka 56 ya Uhruru Dodoma Leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Dkt Magufuli aongoza Sherehe za Miaka 56 ya Uhruru Dodoma Leo
kiungo : Rais Dkt Magufuli aongoza Sherehe za Miaka 56 ya Uhruru Dodoma Leo

soma pia


Rais Dkt Magufuli aongoza Sherehe za Miaka 56 ya Uhruru Dodoma Leo

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akipungia wananchi wakati akiwasili kuongoza  sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.

 Sehemu ya viongozi na wageni waalikwa wakishuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza  sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamema Shein kwenye sherehe hizo

 Marais Wastaafu Mhe Benjamin Mkapa na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakiteta jambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
 Viongozi mbalimbali katika Jukwaa kuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017

  Gwaride lililoundwa na vikosi mbalimbali vya ulinzi na usalama vikipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017
 Kikosi cha Komandoo wa JWTZ kikitoa heshima mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017. Picha na Ikulu


Hivyo makala Rais Dkt Magufuli aongoza Sherehe za Miaka 56 ya Uhruru Dodoma Leo

yaani makala yote Rais Dkt Magufuli aongoza Sherehe za Miaka 56 ya Uhruru Dodoma Leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dkt Magufuli aongoza Sherehe za Miaka 56 ya Uhruru Dodoma Leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/rais-dkt-magufuli-aongoza-sherehe-za_9.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rais Dkt Magufuli aongoza Sherehe za Miaka 56 ya Uhruru Dodoma Leo"

Post a Comment