MHE. VULLU ASHUSHA NEEMA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM PWANI.

MHE. VULLU ASHUSHA NEEMA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM PWANI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MHE. VULLU ASHUSHA NEEMA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM PWANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MHE. VULLU ASHUSHA NEEMA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM PWANI.
kiungo : MHE. VULLU ASHUSHA NEEMA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM PWANI.

soma pia


MHE. VULLU ASHUSHA NEEMA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM PWANI.



Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Pwani  Mhe. Zaynabu Vullu  ametoa  msaada  wa Bendera na Kadi za  CCM  zenye thamani ya zaidi ya  Shillingi Million Mbili na Laki Tatu  kwa lengo la   kukiimarisha Chama cha Mapinduzi  Mkoa wa Pwani.
Katika Msaada huo  Mhe. Vullu  amekabidhi  Bendera 30 na Kadi 500  za CCM ambapo pia ameahidi kutoa  Bendera nyingine 30 na Kadi 500  kwa kila Wilaya za Mkoa huo. 
Akikabidhi msaada huo kwa mwenyekiti wa  UWT  Pwani,  Mhe. Vullu  amesema vifaa hivyo vitasaidia  kuongeza idadi kubwa ya wanachama wapya  kuenda sambamba na Mkakati wa  UWT Taifa  kwakuwa  Chama cha Mapinduzi  ndicho chama kinachokubwalika na Watanzania.
Aidha  Mhe. Vullu  ametumia hafla hiyo kuwahimiza kinamama  kubuni  miradi ya maendeleo  kwa kuanzisha  viwanda vidogovidogo  ili kuunga mkono kaulimbiu ya serikali ya  Rais Dr. John Magufuli  inayohimiza Uchumi wa  Viwanda .


Kwa upande wake Mwenyekiti wa  UWT  Wilaya ya Kibaha Mjini  Bi. Judith Edward  amemshukuru  Mhe. Vullu  kwa kuwapatia msaada huo ambao utasaidia kwa kiasi kikubwa  kuongeza idadi ya wanachama  ndani ya jumuiya na Chama cha Mapinduzi.




Hivyo makala MHE. VULLU ASHUSHA NEEMA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM PWANI.

yaani makala yote MHE. VULLU ASHUSHA NEEMA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM PWANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MHE. VULLU ASHUSHA NEEMA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM PWANI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/mhe-vullu-ashusha-neema-kwa-chama-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MHE. VULLU ASHUSHA NEEMA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM PWANI."

Post a Comment