title : MAMA SAMIA MGENI RASMI WARSHA YA MWAKA YA REPOA
kiungo : MAMA SAMIA MGENI RASMI WARSHA YA MWAKA YA REPOA
MAMA SAMIA MGENI RASMI WARSHA YA MWAKA YA REPOA
Mkurugenzi Mkuu wa REPOA, Dr Donald Mmari akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Warsha ya siku mbili ya mwaka kwa Tasisi hiyo itakayofanyika katika hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam yenye mada ya Tanzania kuelekea uchumi wa kati ambapo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu anatarajia kuwa mgeni rasmi.
Mtafiti kutoka REPOA, Dkt. Blandina Kilama , akizungumza na Waandishi wa Habari kufafanua jambo juu ya umuhimu wa mada hiyo Tanzania kuelekea Uvchumi wa Viwanda.
Mtafiti Kutoka REPOA,Dk Jamal Msami, akieleza namna uchumi wa viwanda unavyoleta tija kutokana na tafiti zilizofanywa nchini.
--
Hivyo makala MAMA SAMIA MGENI RASMI WARSHA YA MWAKA YA REPOA
yaani makala yote MAMA SAMIA MGENI RASMI WARSHA YA MWAKA YA REPOA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAMA SAMIA MGENI RASMI WARSHA YA MWAKA YA REPOA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/mama-samia-mgeni-rasmi-warsha-ya-mwaka.html
0 Response to "MAMA SAMIA MGENI RASMI WARSHA YA MWAKA YA REPOA"
Post a Comment