title : DKT SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA JUU WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE
kiungo : DKT SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA JUU WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE
DKT SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA JUU WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk. Ali Mohemed Shein, akizungumza na uongozi wa juu wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ulioongozwa na Mwenyekiti wa bodi hiyo, Prof Mark Mwandosya wakati uongozi wa chuo hicho ulipofika Ikulu ya Zanzibar kwa Mazungumzo .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk. Ali Mohemed Shein, akiprana mikono na Mwenyekiti wa bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Prof Mark Mwandosya mara baada ya kufika katika ikulu ya Zanzibar .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk Ali Mohemed Shein,akiprana mikono na Mkuu wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere , Prof. Shadrack Mwakalila mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Zanzibar kwa Mazungumzo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk. Ali Mohemed Shein, akiwa katika picha ya Pamoja na Uongozi wa juu wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ulipofika kumtembelea Ikulu ya Zanzibar
Hivyo makala DKT SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA JUU WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE
yaani makala yote DKT SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA JUU WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA JUU WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/dkt-shein-akutana-na-uongozi-wa-juu-wa.html
0 Response to "DKT SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA JUU WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE"
Post a Comment