KUMEKUCHA MISS TABORA 2018

KUMEKUCHA MISS TABORA 2018 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUMEKUCHA MISS TABORA 2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUMEKUCHA MISS TABORA 2018
kiungo : KUMEKUCHA MISS TABORA 2018

soma pia


KUMEKUCHA MISS TABORA 2018


Kumekucha: Fomu za kushiriki mashindano ya Miss Tabora zitaanza kutolewa tarehe 02/05/2018 hadi tarehe 20/05/2018 katika ofisi zote za utamaduni za Wilaya na Halmashauri za Mkoa wa Tabora. 

Auditions kwa Wilaya zote zitaanza kufanyika tarehe 21.05.2018 hadi tarehe 04.06.2018.

Warembo wote 16 watakaokidhi vigezo wataingia kambini na kupata mafunzo mbalimbali na kushiriki kampeni na shughuli za kijamii wakisubiria fainali tarehe 07/07/2018.

Endelea kufuatilia ukurasa huu kwa habari zaidi za Miss Tabora 2018.

@genevieve.tz 
@genevieve_updates
@newmisstanzania
@genampangala

👑👑👑👑👑

#MissTabora2018 
#UremboNiMalengo
#UremboNaKaziKwaMaendeleoYaJamii


Hivyo makala KUMEKUCHA MISS TABORA 2018

yaani makala yote KUMEKUCHA MISS TABORA 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUMEKUCHA MISS TABORA 2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/kumekucha-miss-tabora-2018.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUMEKUCHA MISS TABORA 2018"

Post a Comment