title : Khitma ya Marehemu Mzee Karume leo
kiungo : Khitma ya Marehemu Mzee Karume leo
Khitma ya Marehemu Mzee Karume leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifo chake,(kulia) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa,[Picha na Ikulu] 07/04/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Kabi wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake,[Picha na Ikulu] 07/04/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake,[Picha na Ikulu] 07/04/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) akiwaongoza Viongozi na Waislamu mbali mbali katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliyofanyika leo ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake,[Picha na Ikulu] 07/04/2018.
Viongozi na Mashekhe ni miongoni mwa Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake,[Picha na Ikulu] 07/04/2018.
Viongozi na Mashekhe ni miongoni mwa Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake,[Picha na Ikulu] 07/04/2018.
Akina Mama na Vijana wa Madrasa wakisoma Dua wakati wa Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake,[Picha na Ikulu] 07/04/2018.
Akina Mama na Vijana wa Madrasa wakisoma Dua wakati wa Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake,[Picha na Ikulu] 07/04/2018. Hivyo makala Khitma ya Marehemu Mzee Karume leo
yaani makala yote Khitma ya Marehemu Mzee Karume leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Khitma ya Marehemu Mzee Karume leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/khitma-ya-marehemu-mzee-karume-leo.html
0 Response to "Khitma ya Marehemu Mzee Karume leo"
Post a Comment