title : VODACOM TANZANIA PLC YASHEREHEKEA MIAKA 23 YA UHURU WA AFRIKA YA KUSINI JIJINI
kiungo : VODACOM TANZANIA PLC YASHEREHEKEA MIAKA 23 YA UHURU WA AFRIKA YA KUSINI JIJINI
VODACOM TANZANIA PLC YASHEREHEKEA MIAKA 23 YA UHURU WA AFRIKA YA KUSINI JIJINI
Balozi wa Afrika ya Kusini nchini, Thamsanga Dennis Msekelu akipongezwa na Meneja Ruzuku wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald,kuhusiana na sherehe ya maadhimisho ya miaka 23 ya Uhuru wa Afrika ya Kusini iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki,Sherehe hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC.
Balozi wa Afrika ya Kusini nchini, Thamsanga Dennis Msekelu akicheza muziki aina ya Kwaito na baadhi ya wageni waalikwa wakati wa kusherehekea maadhimisho ya miaka 23 ya Uhuru wa Afrika ya Kusini,Hafla hiyo iliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja Ruzuku wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald(kushoto)akiwa na wageni waalikwa kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka 23 ya Uhuru wa Afrika ya Kusini,Hafla hiyo iliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC na kufanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Hivyo makala VODACOM TANZANIA PLC YASHEREHEKEA MIAKA 23 YA UHURU WA AFRIKA YA KUSINI JIJINI
yaani makala yote VODACOM TANZANIA PLC YASHEREHEKEA MIAKA 23 YA UHURU WA AFRIKA YA KUSINI JIJINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM TANZANIA PLC YASHEREHEKEA MIAKA 23 YA UHURU WA AFRIKA YA KUSINI JIJINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/vodacom-tanzania-plc-yasherehekea-miaka.html
0 Response to "VODACOM TANZANIA PLC YASHEREHEKEA MIAKA 23 YA UHURU WA AFRIKA YA KUSINI JIJINI"
Post a Comment