IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WILAYANI MUFINDI

IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WILAYANI MUFINDI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WILAYANI MUFINDI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WILAYANI MUFINDI
kiungo : IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WILAYANI MUFINDI

soma pia


IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WILAYANI MUFINDI

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akiwa ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, mhe. Jamhuri William (kushoto) wakati alipofanya ziara ya kikazi na kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo mkoani Iringa leo. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akisalimiana na Maofisa wa Polisi wakati alipofanya ziara ya ukaguzi na kuzungumza na Maofisa na askari wa wilaya ya Mufindi mkoani Iringa leo. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akizungumza na askari wa vyeo mbalimbali wilayani Mufindi mkoani Iringa leo, wakati akiwa kwenye ziara ya ukaguzi pamoja na kuona changamoto walizonazo askari wa Jeshi hilo na kuwataka kufanyakazi kwa kuzingatia sheria na taratibu. Picha na Jeshi la Polisi


Hivyo makala IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WILAYANI MUFINDI

yaani makala yote IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WILAYANI MUFINDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WILAYANI MUFINDI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/igp-sirro-afanya-ukaguzi-wilayani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WILAYANI MUFINDI"

Post a Comment