title : Rais wa Zanzibar Dkt. Shein azungumza na Wauguzi na Wakunga
kiungo : Rais wa Zanzibar Dkt. Shein azungumza na Wauguzi na Wakunga
Rais wa Zanzibar Dkt. Shein azungumza na Wauguzi na Wakunga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar walipokuwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza nao leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wauguzi na Wakunga la Zanzibar pamoja na Viongozi wengine baada ya mazungumzo yalitofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na Ikulu
Hivyo makala Rais wa Zanzibar Dkt. Shein azungumza na Wauguzi na Wakunga
yaani makala yote Rais wa Zanzibar Dkt. Shein azungumza na Wauguzi na Wakunga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar Dkt. Shein azungumza na Wauguzi na Wakunga mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/rais-wa-zanzibar-dkt-shein-azungumza-na.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar Dkt. Shein azungumza na Wauguzi na Wakunga"
Post a Comment