title : DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO
kiungo : DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO
DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mkoani humo jana ,ambapo anatarajiwa kushiriki katika sherehe za maadhimishi ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania zitakazofanyika leo,katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika mapokezi yake mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mkoani humo jana ,ambapo anatarajiwa kushiriki katika sherehe za maadhimishi ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania zitakazofanyika leo,katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma,
Picha na Ikulu
Hivyo makala DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO
yaani makala yote DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/dkshein-awasili-mkoani-dodoma-leo.html
0 Response to "DK.SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA LEO"
Post a Comment