DC MJEMA AWATAKA WANAWAKE WAHASIBU KUWA WAAMINIFU SEHEMU ZA KAZI, KUISAIDIA SERIKALI KATIKA MAPATO YAKE.

DC MJEMA AWATAKA WANAWAKE WAHASIBU KUWA WAAMINIFU SEHEMU ZA KAZI, KUISAIDIA SERIKALI KATIKA MAPATO YAKE. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MJEMA AWATAKA WANAWAKE WAHASIBU KUWA WAAMINIFU SEHEMU ZA KAZI, KUISAIDIA SERIKALI KATIKA MAPATO YAKE., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MJEMA AWATAKA WANAWAKE WAHASIBU KUWA WAAMINIFU SEHEMU ZA KAZI, KUISAIDIA SERIKALI KATIKA MAPATO YAKE.
kiungo : DC MJEMA AWATAKA WANAWAKE WAHASIBU KUWA WAAMINIFU SEHEMU ZA KAZI, KUISAIDIA SERIKALI KATIKA MAPATO YAKE.

soma pia


DC MJEMA AWATAKA WANAWAKE WAHASIBU KUWA WAAMINIFU SEHEMU ZA KAZI, KUISAIDIA SERIKALI KATIKA MAPATO YAKE.

 Na John Luhende
Mwambawahabari
Wanawake  Wahasibu Tanzania, wametakiwa kuwa waaminifu  na kutumia vyema utaalam  wao katika kazi za uhasibu ili kuisaidia wanawake wengine ambao hawana taaluma hiyo katika matumizi  ya fedha na Taifa  ili kuweka uwazi  wa matumizi ya fedha katika Taasisi za serikali na sekta binafsi.



Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema alipokuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Makamu katika ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa chama cha Wahasibu wanawake TAWCA, ambapo  amewashukuru  wanawake hao kwa kuonyesha uaminifa na uchapakazi katika majukumu yao.

"Kwa kweli wanawake niwachapakazi na mmeonesha imani kubwa maana Nikiangalia katika kesi kubwa kubwa zinazohusisha ufisadi wanawake siyo wengi hii ni kuonyesha kuwa ninyi ni waaminifu" Amesema Mjema.
 Ametaka kuendelea kujadiliana ili kutatua changamoto zao na kusema kuwa wanawake wanatakiwa kumuunga mkono Rais Magufuli katika kujenga Tanzania ya viwanda kwa kuweka  mahesabu sawa katika maeneo yao ya kazi ili Tanzania iweze kuwa na Maendeleo kwa kiasi kikubwa.


Aidha DC Mjema kwa niaba ya Makamu wa Rais Samia Suluhu, Ameendesha harambee ya kuchangia chama hicho kipya ili kukuza mfuko utaokifanya chama hicho kujiendesha ambapo zaidi ya shilingi Millioni 11,zimechangwa na Wanachama.
 Kwa upande wake Mwenyekiti wa TAWCA, Bahati Geuze, amesema chama hicho kitawaapatia mafunzo wanachama wake kupitia chama cha Wahasibu Tanzania na yatatolewa na chama hicho na kuongeza kuwa  chama hicho kimeanzishwa ili kuongeza hamasa kwa Wanawake vijana kupenda masomo ya fedha ambapo  wameahidi kusaidia wanawake waliopo katika shule na vyuo ili kuongeza namba ya Wahasibu wanawake wenye sifa na Elimu.











Hivyo makala DC MJEMA AWATAKA WANAWAKE WAHASIBU KUWA WAAMINIFU SEHEMU ZA KAZI, KUISAIDIA SERIKALI KATIKA MAPATO YAKE.

yaani makala yote DC MJEMA AWATAKA WANAWAKE WAHASIBU KUWA WAAMINIFU SEHEMU ZA KAZI, KUISAIDIA SERIKALI KATIKA MAPATO YAKE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA AWATAKA WANAWAKE WAHASIBU KUWA WAAMINIFU SEHEMU ZA KAZI, KUISAIDIA SERIKALI KATIKA MAPATO YAKE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/dc-mjema-awataka-wanawake-wahasibu-kuwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MJEMA AWATAKA WANAWAKE WAHASIBU KUWA WAAMINIFU SEHEMU ZA KAZI, KUISAIDIA SERIKALI KATIKA MAPATO YAKE."

Post a Comment