DC MATIRO AONGOZA MKUTANO WADAU WA CHANJO SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MKOA WA SHINYANGA

DC MATIRO AONGOZA MKUTANO WADAU WA CHANJO SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MKOA WA SHINYANGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MATIRO AONGOZA MKUTANO WADAU WA CHANJO SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MKOA WA SHINYANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MATIRO AONGOZA MKUTANO WADAU WA CHANJO SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MKOA WA SHINYANGA
kiungo : DC MATIRO AONGOZA MKUTANO WADAU WA CHANJO SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MKOA WA SHINYANGA

soma pia


DC MATIRO AONGOZA MKUTANO WADAU WA CHANJO SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MKOA WA SHINYANGA

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mheshimiwa Josephine Matiro amefungua na kuongoza mkutano wa wadau wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mkoani Shinyanga uliolenga kujadili namna ya kufanikisha zoezi la chanjo hiyo kwa wasichana wenye umri wa miaka 14 mkoani humo. 

Mkutano huo umefanyika leo Jumanne Aprili 17,2018 katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mkoani Shinyanga.

Akifungua mkutano huo,Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga alisema Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto kwa kushirikiana na wadau wa chanjo imeanzisha chanjo mpya ya kuwakinga na ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi kwa wasichana wenye umri wa miaka 14.

Matiro alisema saratani ya mlango wa kizazi ni ya kwanza nchini Tanzania kwa kusababisha vifo ikifuatiwa na saratani ya matiti ambazo zote zinasababisha zaidi ya asilimia 50 ya vifo vyote vya akina mama vitokanavyo na saratani hivyo kunahitajika juhudi na ushirikiano zaidi kupunguza vifo hivyo.

“Lengo la kuanzisha chanjo hii ni kukinga mabinti kutokana na madhara makubwa yanayoweza kuwapata ambayo husababisha vifo vingi kwa wanawake,na walengwa wa chanjo hii mwaka huu ni wasichana wote wanaotimiza miaka 14 ambapo katika mkoa wa Shinyanga wasichana wasiopungua 29,479 watachanjwa”,aliongeza.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akifungua mkutano wa wadau wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mkoani Shinyanga 
Mganga mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Dkt. Rashid Mfaume akizungumza wakati wa mkutano wa wadau wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mkoani Shinyanga. 
Katibu Tawala mkoa wa Shinyanga Albert Msovela akizungumza wakati wa mkutano wa wadau wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mkoani Shinyanga.



Hivyo makala DC MATIRO AONGOZA MKUTANO WADAU WA CHANJO SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MKOA WA SHINYANGA

yaani makala yote DC MATIRO AONGOZA MKUTANO WADAU WA CHANJO SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MKOA WA SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MATIRO AONGOZA MKUTANO WADAU WA CHANJO SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MKOA WA SHINYANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/dc-matiro-aongoza-mkutano-wadau-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MATIRO AONGOZA MKUTANO WADAU WA CHANJO SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI MKOA WA SHINYANGA"

Post a Comment