title : WIZARA ZA UJENZI ZA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA ZAFANYA MAZUNGUMZO ZANZIBAR
kiungo : WIZARA ZA UJENZI ZA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA ZAFANYA MAZUNGUMZO ZANZIBAR
WIZARA ZA UJENZI ZA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA ZAFANYA MAZUNGUMZO ZANZIBAR
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji, Mustafa Aboud Jumbe akisisitiza jambo katika Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi (SMT) uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View Zanzibar. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano(SMT), Dkt. Leornard Chamuriho.
Baadhi ya Wajumbe waliohudhuria katika Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi (SMT)uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano(SMT), Dkt, Leornard Chamuriho, akifafanua baadhi ya hoja zilizotolewa katika Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi (SMT)uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View Zanzibar.
Katibu Mkuu Wzara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji, Mustafa Aboud Jumbe na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano(SMT), Dkt. Leornard Chamuriho wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi(SMT) uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala WIZARA ZA UJENZI ZA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA ZAFANYA MAZUNGUMZO ZANZIBAR
yaani makala yote WIZARA ZA UJENZI ZA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA ZAFANYA MAZUNGUMZO ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA ZA UJENZI ZA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA ZAFANYA MAZUNGUMZO ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/wizara-za-ujenzi-za-zanzibar-na.html
0 Response to "WIZARA ZA UJENZI ZA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA ZAFANYA MAZUNGUMZO ZANZIBAR"
Post a Comment