Waziri Mwakyembe akutana na Balozi wa China na Balozi wa Umoja wa Ulaya kuzungumzia masuala ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika

Waziri Mwakyembe akutana na Balozi wa China na Balozi wa Umoja wa Ulaya kuzungumzia masuala ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mwakyembe akutana na Balozi wa China na Balozi wa Umoja wa Ulaya kuzungumzia masuala ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mwakyembe akutana na Balozi wa China na Balozi wa Umoja wa Ulaya kuzungumzia masuala ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika
kiungo : Waziri Mwakyembe akutana na Balozi wa China na Balozi wa Umoja wa Ulaya kuzungumzia masuala ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika

soma pia


Waziri Mwakyembe akutana na Balozi wa China na Balozi wa Umoja wa Ulaya kuzungumzia masuala ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na Balozi wa China nchini Mhe. WANG KE alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam kuzungumzia masuala mbalimbali ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika
Mratibu wa programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika Bibi. Ingiahedi Mduma (kushoto) pamoja na wajumbe wengine kutoka Wizara ya Habari wakifuatilia majadiliano ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) na Balozi wa China nchini walipokutana kuzungumzia masuala mbalimbali ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akiangalia kitabu alichopewa na balozi wa China nchini Mhe. WANG KE (kushoto) baada ya kufanya mazungumzo yanayohusu masuala ya urithi wa ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na Bolozi wa Umoja wa Ulaya (katikati) Mhe. Roeland Van de Greer alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam kuzungumzia masuala mbalimbali ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) pamoja na Bolozi wa Umoja wa Ulaya (katikati) Mhe. Roeland Van de Greer wakiangalia moja ya historia iliyoifadhiwa ya harakati za ukombozi wa Bara la Afrika baada ya kuzungumzia masuala mbalimbali ya urithi wa ukombozi wa Bara la Afrika leo Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akimuonyesha Bolozi wa Umoja wa Ulaya (wapili kushoto) Mhe. Roeland Van de Greer pikipiki zilizotumika wakati wa harakati za ukombozi wa Bara la Afrika alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam kuzungumzia masuala mbalimbali ya urithi wa ukombozi wa bara la Afrika. Kulia ni Mratibu wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika Bibi. Ingiahedi Mduma
Picha na: Genofeva Matemu – WHUSM


Hivyo makala Waziri Mwakyembe akutana na Balozi wa China na Balozi wa Umoja wa Ulaya kuzungumzia masuala ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika

yaani makala yote Waziri Mwakyembe akutana na Balozi wa China na Balozi wa Umoja wa Ulaya kuzungumzia masuala ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mwakyembe akutana na Balozi wa China na Balozi wa Umoja wa Ulaya kuzungumzia masuala ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/waziri-mwakyembe-akutana-na-balozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri Mwakyembe akutana na Balozi wa China na Balozi wa Umoja wa Ulaya kuzungumzia masuala ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika"

Post a Comment