WATOTO WASIORIPOTI MASHULENI WAZAZI WAO KUCHUKULIWA HATUA -SANGA

WATOTO WASIORIPOTI MASHULENI WAZAZI WAO KUCHUKULIWA HATUA -SANGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATOTO WASIORIPOTI MASHULENI WAZAZI WAO KUCHUKULIWA HATUA -SANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATOTO WASIORIPOTI MASHULENI WAZAZI WAO KUCHUKULIWA HATUA -SANGA
kiungo : WATOTO WASIORIPOTI MASHULENI WAZAZI WAO KUCHUKULIWA HATUA -SANGA

soma pia


WATOTO WASIORIPOTI MASHULENI WAZAZI WAO KUCHUKULIWA HATUA -SANGA

Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga imesema mpaka ifikapo machi 31 mwaka huu, itawachukulia hatua Kali za kisheria wazazi na walezi wote ambao watoto wao wamefaulu na hawajaripoti shuleni mpaka sasa kwa Sababu zisizo na msingi. 

Kauli hiyo imetolewa na Mkuu Wa wilaya ya Mkuranga wakati akifungua kikao cha bajeti ya mwaka 2018/2019 cha baraza la madiwani kilicho fanyika wilayani humo,na kusema kuwa wanafunzi walioripoti ni 3,439 sawa na asilimia 46 na wanafunzi 217 hawajaripoti mpaka sasa ambao ni sawa na asilimia 5.46.

Aidha amesema mpaka ifikapo march 31 mwaka huu,wazazi na walezi ambao watakuwa hawajatoa taarifa zozote kuhusu sababu za watoto wao kutoripoti shuleni watachukuliwa hatua Kali za kisheria.

Aidha Sanga amewataka madiwani wote  wa wilaya hiyo kushirikiana nae kufuatilia kwa undani suala hilo ili kuhakikisha kuwa wanabaini changamoto zilizopelekea wanafunzi hao kutofika shuleni mpaka sasa."tunachotaka watoto wetu wasome,hatutaki kusukia mtu ameacha shule kwasababu ya kuolewa,wazazi watoe taarifa vinginevyo hatua zitachukuliwa dhidi yao".alisema Sanga.
Mwenyekiti Wa Halmashauri ya Mkuranga,Juma Abeid akizungumza na Madiwani wa Wilaya ya Mkuranga katika mkutano wa bajeti ya mwaka 2018/2019.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
Diwani wa kata ya Mwanandege,Adroph Kowero akifafanua jambo katika mkutano huo.
Madiwani wakimsikiliza Mwenyekiti Wa Halmashauri ya Mkuranga,Juma Abeid.



Hivyo makala WATOTO WASIORIPOTI MASHULENI WAZAZI WAO KUCHUKULIWA HATUA -SANGA

yaani makala yote WATOTO WASIORIPOTI MASHULENI WAZAZI WAO KUCHUKULIWA HATUA -SANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATOTO WASIORIPOTI MASHULENI WAZAZI WAO KUCHUKULIWA HATUA -SANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/watoto-wasioripoti-mashuleni-wazazi-wao.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATOTO WASIORIPOTI MASHULENI WAZAZI WAO KUCHUKULIWA HATUA -SANGA"

Post a Comment