title : GREAT HOPE FOUNDATION YAZINDUA TUZO ZA UWEZO KWA SHULE 100 NCHINI
kiungo : GREAT HOPE FOUNDATION YAZINDUA TUZO ZA UWEZO KWA SHULE 100 NCHINI
GREAT HOPE FOUNDATION YAZINDUA TUZO ZA UWEZO KWA SHULE 100 NCHINI
Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Great Hope Foundation, Noelle Mahuvi akizungumza wakati wa Sherehe ya uzinduzi wa tuzo za uwezo kwa shule za Sekondari zilizopo katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro ,ambapo wanafunzi wanaweza kuwasilisha mawazo yao na kuwezeshwa na taasisi hiyo.
Sehemu ya Wajumbe wa Meza kuu ambao walifika katika Uzinduzi huo wakishuhudia moja ya mawasilisho ya Wanafunzi kupitia Sanaa.
Mmoja ya Majaji wa Tuzo za Uwezo , Hyasinta Ntuyeko akieleza vigezo vitakavyowafanya wanafunzi wa shule mbalimbali watakavyoweza kushinda pindi watakapowasilisha kazi zao katika shindano hilo, ambapo mwaka jana shule ya Mugabe iliibuka kidedea .
Muwezeshaji , Samweli Ndandala akitoa somo namna ya kufikiri sana ili kushinda katika shindano hilo, ambalo linajumuisha shule zaidi ya 100 za Dar es Salaam, Pwani na Morogoro.
Sehemu ya Wanafunzi walioshiriki katika uzinduzi wa tuzo za uwezo kwa shule za Sekondari zilizopo katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro.
Hivyo makala GREAT HOPE FOUNDATION YAZINDUA TUZO ZA UWEZO KWA SHULE 100 NCHINI
yaani makala yote GREAT HOPE FOUNDATION YAZINDUA TUZO ZA UWEZO KWA SHULE 100 NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala GREAT HOPE FOUNDATION YAZINDUA TUZO ZA UWEZO KWA SHULE 100 NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/great-hope-foundation-yazindua-tuzo-za.html
0 Response to "GREAT HOPE FOUNDATION YAZINDUA TUZO ZA UWEZO KWA SHULE 100 NCHINI"
Post a Comment