WAMBURA AWAJIBU TFF,ASUBIRI BARUA YA MAAMUZI KAMATI YA MAADILI

WAMBURA AWAJIBU TFF,ASUBIRI BARUA YA MAAMUZI KAMATI YA MAADILI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAMBURA AWAJIBU TFF,ASUBIRI BARUA YA MAAMUZI KAMATI YA MAADILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAMBURA AWAJIBU TFF,ASUBIRI BARUA YA MAAMUZI KAMATI YA MAADILI
kiungo : WAMBURA AWAJIBU TFF,ASUBIRI BARUA YA MAAMUZI KAMATI YA MAADILI

soma pia


WAMBURA AWAJIBU TFF,ASUBIRI BARUA YA MAAMUZI KAMATI YA MAADILI

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii

MAKAMU Mwenyekiti wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Michael Wambura ameeleza suala Kamati ya Maadili ya shirikisho ni la kimkakati zaidi na si la kisheria.

Akizungumza leo jijini Dar es salaam Wambura amesema suala hilo lilianza miaka 14 iliyopita akiwa raia wa kawaida tuu.Wambura anatuhumiwa kufoji barua na kupokea malipo yasiyo halali kutoka Kampuni ya JICK System Ltd,pia kushusha hadhi ya TFF.

Akizungumzia zaidi suala hilo Wambura ameeleza  tatizo lililopo ni uenyekiti wa TFF, fedha na ajira za TFF hasa nafasi ya Katibu Mkuu.Pia Wambura amesema kuwa kama Makamu Mwenyekiti wa TFF ataendelea kufanya kazi kama kawaida na lawama hizo zishindwe kabisa.

Ameongeza, kuwa kuna tatizo kubwa sana ndani ya Shirikisho hilo na wananchi watalijua mapema na ameitaka kamati tendaji kufikiri tena kabla ya kufanya maamuzi.Hata hivyo amesema anasubiri barua rasmi ya kamati hiyo na ndipo atakuwa na cha kuzungumza,hivyo anasubiri maana kwa sasa amesikia tu taarifa kuhusu kusimamishwa kujihusisha na soka.

Kwa upande wa Wakili wa Wambura Emmanuel Muga amesema, kikao hakikufuata sheria hali iliyompelekea kushindwa kufanya kazi yake, amesema barua ya mwito ilicheleweshwa na ilipelekwa nyumbani kwake ili hali Wambura yupo TFF. 

Pia ameeleza kanuni ya 48 ya maadili ya TFF inayoeleza kuna siku 3 za kuitikia mwito haikuzingatiwa na pia kamati haikuzingatia kanuni ya 58 inayoeleza kuhusu kesi na kupanga siku ya kuleta vielelezo na mashahidi haikuzingatiwa kwa mteja wake.

Pia Muga ameeleza kuwa kikao hicho hakikutoa majibu ya moja kwa moja na walieleza watatoa uamuzi siku nyingine.


Hivyo makala WAMBURA AWAJIBU TFF,ASUBIRI BARUA YA MAAMUZI KAMATI YA MAADILI

yaani makala yote WAMBURA AWAJIBU TFF,ASUBIRI BARUA YA MAAMUZI KAMATI YA MAADILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAMBURA AWAJIBU TFF,ASUBIRI BARUA YA MAAMUZI KAMATI YA MAADILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/wambura-awajibu-tffasubiri-barua-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAMBURA AWAJIBU TFF,ASUBIRI BARUA YA MAAMUZI KAMATI YA MAADILI"

Post a Comment