title : Wabunge wa Zanzibar wapata ajali ya gari Morogoro
kiungo : Wabunge wa Zanzibar wapata ajali ya gari Morogoro
Wabunge wa Zanzibar wapata ajali ya gari Morogoro
Gari la Land Cruiser Prado lililopata ajali Mororgoro ambapo Wabunge sita kutoka Zanaibhra walijeruhiwa hivi leo usiku
Mmoja wa Wabunge kutoka Zanzibar akiwa amelazwa katika Hospitali ya Morogoro kwa ajili ya Matibabu
Wabunge sita kutoka Zanzibar wamepata ajali mbaya ya gari waka gari waliokuwa wakisafiria aina ya Land Cruiser Prado lilliokuwa likiendeshwa na mbunge wa Mfenesini kupinduka eneo la Morogoro.
Ajali hii ilitokea majira ya usiku wakati wabunge hawa wakiwa safarini.
Wabunge waliokuwemo katika gari lililopinduka ni Haji Ameir Haji (Makunduchi), Khamis Ali Vuai (Mkwajuni), Bhagwanji Maganlal Meisuria (Chwaka), Makame Mashaka Foum (Kijini), Juma Othman Hija (Tumbatu) wako hospitali kwa matibabu.
Mbunge wa Makunduchi Haji Ameir Haji inasemekana ndie aliejeruhiwa vibaya kwani alikuwa hakufunga mkanda.
Majeruhuhi wote hao wamelazwa hospitali ya Morogoro kwa ajili ya matibabu
Hivyo makala Wabunge wa Zanzibar wapata ajali ya gari Morogoro
yaani makala yote Wabunge wa Zanzibar wapata ajali ya gari Morogoro Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wabunge wa Zanzibar wapata ajali ya gari Morogoro mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/wabunge-wa-zanzibar-wapata-ajali-ya.html
0 Response to "Wabunge wa Zanzibar wapata ajali ya gari Morogoro"
Post a Comment