title : TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN
kiungo : TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN
TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN
Mshauri mteule wa masuala ya usalama Marekani, Bolton John (69).
Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii
RAIS wa Marekani, Donald Trump amemteua Bolton John (69) kuwa Mshauri wa masuala ya usalama baada ya kumwachisha kazi aliyekuwa katika nafasi hiyo H.R McMaster.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais Trump ameandika kumteua Bolton John (69) kuwa mshauri wake wa masuala ya usalama wa taifa na mteule huyo kuanza kazi rasmi ifikapo mwezi Aprili.
Inasemekana kupishana kauli kati ya Trump na McMaster siku za nyuma ndiko juu ya sera za nchi hiyo ndiko kulikopelekea maamuzi ya Rais Trump kumfukuzisha kazi.
John Bolton anakuwa mshauri wa tatu wa masuala ya usalama huku akiwa amehudumu katika mihula kadhaa na aliwahi kuhudumu kama mwakilishi wa Marekani Umoja wa Mataifa.
McMaster ataungana na aliyekuwa Waziri wa mambo ya Nje, Rex ambaye alifutwa kazi siku chache zilizopita kutokana na maamuzi ya Rais Trump.
Hivyo makala TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN
yaani makala yote TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/trump-amfuta-kazi-mshauri-wa-usalama.html
0 Response to "TRUMP AMFUTA KAZI MSHAURI WA USALAMA, AMPA KIJITI BOLTON JOHN"
Post a Comment